Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
kumbe usagaji unapona?
wapo tena wengi mno....
usisahau kuolewa au kuto olewa haimaanishi uwe single still
wapo wasiopenda harusi but wanataka kuwa na wenza
Kuna dada nafahamiana naye vyema sana. Baada ya kuachana na mvulana wake akajiapiza kuwa hataki tena mahusiano na mwanaume yeyote na akajiingiza kwenye vitendo vya kiusagaji kiasi kwamba wazazi mtaani wakawa hataki mabinti wao wamkaribie kwa hofu ya kuharibiwa na dada huyo.
Mungu mkubwa juzi jumamosi dada huyo kaolewa na kijana mzuri kabisa.