decomm
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 726
- 666
Amani iwe kwenu.
Nimeona video clip, gari aina ya Audi ikivuka 'max speed' yake kwenye odometer hadi kufikia 378 Kph kwenye 'digital display'
Bila shaka ni audi q8 ya mwaka 2019. (?)
Je kuna mwenye audi q7 aliyewahi kufanya mchezo huu wa hatari?
Hatari sana.View attachment VID-20190129-WA0018.mp4
Sent using Jamii Forums mobile app