decomm JF-Expert Member Joined Dec 10, 2013 Posts 726 Reaction score 666 Jan 31, 2019 #1 Amani iwe kwenu. Nimeona video clip, gari aina ya Audi ikivuka 'max speed' yake kwenye odometer hadi kufikia 378 Kph kwenye 'digital display' Bila shaka ni audi q8 ya mwaka 2019. (?) Je kuna mwenye audi q7 aliyewahi kufanya mchezo huu wa hatari? Hatari sana.View attachment VID-20190129-WA0018.mp4 Sent using Jamii Forums mobile app
Amani iwe kwenu. Nimeona video clip, gari aina ya Audi ikivuka 'max speed' yake kwenye odometer hadi kufikia 378 Kph kwenye 'digital display' Bila shaka ni audi q8 ya mwaka 2019. (?) Je kuna mwenye audi q7 aliyewahi kufanya mchezo huu wa hatari? Hatari sana.View attachment VID-20190129-WA0018.mp4 Sent using Jamii Forums mobile app
Sir Khan JF-Expert Member Joined Jul 28, 2018 Posts 5,730 Reaction score 11,576 Jan 31, 2019 #2 Jaribu mkuu ulete mrejesho.
decomm JF-Expert Member Joined Dec 10, 2013 Posts 726 Reaction score 666 Jan 31, 2019 Thread starter #3 Si kwa barabara za bongo aisee! Sir Khan said: Jaribu mkuu ulete mrejesho. Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
Si kwa barabara za bongo aisee! Sir Khan said: Jaribu mkuu ulete mrejesho. Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
Sir Khan JF-Expert Member Joined Jul 28, 2018 Posts 5,730 Reaction score 11,576 Feb 1, 2019 #4 Aha ha unaogopa kufa?
Nokia83 JF-Expert Member Joined Jan 16, 2014 Posts 24,643 Reaction score 44,320 Feb 1, 2019 #5 Hizo test zinafanywa kwny viwanja maalum vya kutest magari sio barabara za kawaida