Je, Kuna namna ya kufanya ili Mkopo utumike Mwakani?

Je, Kuna namna ya kufanya ili Mkopo utumike Mwakani?

Joined
Sep 22, 2014
Posts
58
Reaction score
3
Naombeni mnijuze wana Jamiiforums,

Ikiwa umepata mkopo na ukashindwa kwenda kuanza masomo mwaka huo. Je,kuna namna ya kufanya ili mkopo wako utumike mwakani? Msaada tafadhali.
 
Back
Top Bottom