M malagira roman Member Joined Sep 22, 2014 Posts 58 Reaction score 3 Nov 27, 2014 #1 Naombeni mnijuze wana Jamiiforums, Ikiwa umepata mkopo na ukashindwa kwenda kuanza masomo mwaka huo. Je,kuna namna ya kufanya ili mkopo wako utumike mwakani? Msaada tafadhali.
Naombeni mnijuze wana Jamiiforums, Ikiwa umepata mkopo na ukashindwa kwenda kuanza masomo mwaka huo. Je,kuna namna ya kufanya ili mkopo wako utumike mwakani? Msaada tafadhali.
keynessian JF-Expert Member Joined Feb 28, 2014 Posts 590 Reaction score 419 Nov 27, 2014 #2 Haiwezekani