je kuna neno moja la password kwa kiswahili

msilala

Member
Joined
Jan 7, 2014
Posts
11
Reaction score
1
mara nyingi nimetafakari haya maneno ya kutohoa kama password kwanini haina neno moja kwa kiswahili badala ya alamaya siri
 
Password = Nywila (neno nywila limetokana na neno nywilanywila ambalo lilikuwa ni neno la siri wakati wa vita vya kumwondoa mkoloni wa kijerumani nchini Tanzania. Vita hivyo ni vile vya Majimaji vya mwaka 1904-05 vilivyoongozwa na Kinjeketile Ngwale.
 
PASS - PITA
WORD-NENO

Password -pitaneno..... lol !!!!1kamtazamo tu.kujiongeza muhimu
 
Back
Top Bottom