Malaika wa Misukosuko
JF-Expert Member
- Jul 16, 2021
- 2,470
- 7,376
Habarini wana JF, kiufupi nimeleta andiko hili humu ili muweze kunisaidia ushauri maana naanza kuona sasa hii sio hali ya kawaida maishani mwangu.
Tukiachilia mbali wale wapenzi wa kula kimasihara ambao nimewahi kuwa nao siku za nyuma hao wenyewe sijawah kushuhudia hili suala likitokea kwao ila kilichofanya mpaka leo hii nmeandika huu uzi ni baada ya kupata taarifa mbaya sana zinazohusiana na Mama mdogo wake na mpenzi wangu niliyempata hivi karibuni,
Kiukweli mwanzo sikutilia maanani sana ila sasa naanza kupata mashaka na kinachoendelea kwangu na nianze na mpenzi wa kwanza
1, Huyu yeye baada ya kuingia nae kwenye mahusiano kipindi hicho yeye alikuwa form 4 na mimi ndo nlikuwa naanza chuo first year haikupita hata wiki moja alifanya jaribio la kunywa sumu ila akawaishwa hospital na akapona.... Kisa ilikuwa Baba yake alikuwa ni ana pesa sana hivyo alikuwa na wanawake wengi na kumdharau na kumpiga mke wake kwahyo hali hiyo ilikuwa inamkera sana mpenzi wangu na akachukua maamuzi hayo.
2, Huyu wa pili yeye baada ya kuingia nae kwenye mahusiano kipindi hicho nipo chuo haikupita hata wiki mbili alipata taarifa ya mama yake kufariki kwa kuumwa tu ghafla yaani aliumwa asubuhi mchana akafariki.
3, Watatu yeye baada ya kuwa nae kwenye mahusiano kama ndani ya mwezi hivi akapata taarifa kwamba mama yake amelazwa hospital,
Na vipimo vilionyesha alikula chakula chenye sumu, hivyo inaonyesha kuna mtu alijaribu kumuua kwa sumu....na mara ya mwisho kula ilikuwa ni kwenye sherehe ya harusi usiku mmoja kabla.
4, Huyu yeye baada tu ya kunikubalia tuwe wapenzi siku ya pili yake Baba yake mzazi akafariki kwa ugonjwa wa moyo.
5, Huyu sasa ndo kafanya hadi nimefungua huu Uzi kwani huyu baada ya kuwa nae kwenye mahusiano kwa muda wa takribani wiki mbili sasa nimepata taarifa jana kwamba Mama mdogo wake pamoja na Bibi yake wote wawili wamelazwa hospital na imebainika wana kansa ya Damu na wapo katika hali mbaya sana,
Nashindwa kuelewa ni kwamba kuna kitu ambacho kinafatilia maisha yangu au ni hali tu ya kawaida ya maisha ? Na haina uhusiano wowote na mimi ? Am confused sijawahi kumuelezea yoyote hali hii sio ndugu wala mpenzi au rafiki..... Ila nashangazwa sana na vitu hivi na nimekuwa nikiumizwa sana.
Kuna vitu vya ajabu sana katika maisha yangu ambvyo nitakuwa naelezea nikipata muda kwani huwa mvivu wa kutype,
ila najishangaa kwani kuna siku kipindi hicho nikiwa mdogo kidogo mama aliniambia twende wote hospital tukamuone mgonjwa(ndugu yetu) nikamjibu Mama kwamba mi stokwenda kwani sitaki kushuhudia mtu akifa huku namuona.... Cha ajabu mama alipoingia tu chumba cha mgonjwa na yule ndugu yetu akakata roho pale pale huku akimuona.
Naombeni ushauri ndugu zangu je ni nini kinaendelea kwenye maisha yangu ? Ni mambo ya kishetani au ni mkosi gani huu