Je, kuna njia au dawa ya kupata Mapacha?

Je, kuna njia au dawa ya kupata Mapacha?

chief72

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2011
Posts
627
Reaction score
306
Wana JF Mimi ni mmoja wanaopenda sana watoto mapacha, tena mapacha wanaofanana hasa wakiwa wa kike!

Je, kuna njia yoyote ya kitaalam au hata ya kienyeji, au dawa iwe ya kisasa au ya kienyeji ambayo itawezesha hili, au mapacha ni jambo la kiasili na kimaumbile kama watu wanavyodhania?
 
Ndiyo inawezekana, Kuna maji ya mto Lugonesi upo katavi ukinywa maji ya huo mto utazaa mapacha. Ingia utube andika mto LUGONESI utapata shuhuda za kutosha.
 
Clomid vidonge 2 kwa siku 5 ,akitumia fanyeni na follicular study kujua kama kuna mayai mawili yamekua ambayo yatapevuka na kuleta mapacha.
 
Back
Top Bottom