Je Kuna Njia Mbadala Jinsi Ya kufahamu Paternity Ya Mtoto Bila kutumia Vipimo Vya DNA?

Je Kuna Njia Mbadala Jinsi Ya kufahamu Paternity Ya Mtoto Bila kutumia Vipimo Vya DNA?

patience96

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2011
Posts
1,353
Reaction score
574
Salaam wana JF.

Ningependa kujua, ni njia zipi naweza tumia, (bila DNA Test) ili nithibitishe kuwa mtoto ni damu yangu halisi.
Mwenye kufahamu hili anijuze.

Asante.
 
Salaam wana JF.

Ningependa kujua, ni njia zipi naweza tumia, (bila DNA Test) ili nithibitishe kuwa mtoto ni damu yangu halisi.
Mwenye kufahamu hili anijuze.

Asante.

Njia ya uhakika about 100% ni DNA.

Hizi njia nyingine mmh! Jaribu Blood type calculator; au angalia; Physical traits kama eye color, types of earlobes n.k.

 
Njia mbadala ni DNA,Nyingine ni za ziada hazina uhakika..
 
Mashaka.ya nini? Labda kama wewe ni mwanamke
unataka kuhakiki baba wa mtoto ili umbane matumizi. Otherwise kama wewe mwanaume, jua kitanda hakizai haramu. Furahia uumbaji.
 
Hiyo DNA kwa tanzania inapimwa wapi , kwa utaratibu upi na kwa gharama zipi?
 
kama afanani hata kidogo kati yenu hapo imekula kwako,fanya uchunguzi wanawake wana siri nyingi.
jikaze utalea mtoto sio wako.komaa na utafiti
 
hivi kama kwa mfano mzazi hayupo inawezekana kupima DNA, na watoto waliopo kujua kama ni nduguzo wa baba na mama inclusively?
 
Back
Top Bottom