Napenda tu kujua, hivi zaidi ya ule utaratibu wa kupitisha kidole sehemu ya haja kubwa ambao wanaume wengi huwa hatuupendi na kuona kama ni fedheha, kuna njia nyingine ambayo hutumika katika kuugundua huu ugonjwa?
Nachelea kusema hivi kwa kuwa hakika huu ugonjwa ni hatari sana hasa pale inapogundulika kuwa umechelewa kujua kama una hilo tatizo.
Nategemea kupata majibu kutok kwenu.