Emery Paper
JF-Expert Member
- Jun 1, 2019
- 1,427
- 2,728
Duh! Wanne kabisa. Hapo uzao mmoja unakuwa umemaliza kazi aisee.1. Genetics, kama umezaliwa pacha au mama/baba alikuwa pacha una nafasi kubwa ya kupata watoto Malachi.
2. Ukiwa unatumia fertility treatment au dawa kuna nafasi kubwa ya zaidi ya yai moja kurutubishwa. Tatizo au faida ya fertility temreatment ni kupata watoto quadruplet yaani wanna au zaidi.
Aiseee1. Genetics, kama umezaliwa pacha au mama/baba alikuwa pacha una nafasi kubwa ya kupata watoto Malachi.
2. Ukiwa unatumia fertility treatment au dawa kuna nafasi kubwa ya zaidi ya yai moja kurutubishwa. Tatizo au faida ya fertility treatment ni kupata watoto quadruplet yaani wanne au zaidi.
Wanne kwa pamoja sio mchezo.1. Genetics, kama umezaliwa pacha au mama/baba alikuwa pacha una nafasi kubwa ya kupata watoto mapacha
2. Ukiwa unatumia fertility treatment au dawa kuna nafasi kubwa ya zaidi ya yai moja kurutubishwa. Tatizo au faida ya fertility treatment ni kupata watoto quadruplet yaani wanne au zaidi.
Wengine wanapata sita hadi nane hii fertility treatment ni mbolea kweli kweli.Wanne kwa pamoja sio mchezo.
Daaah hiyo hapana kwa kweli naona kama mwanamke atateseka sana kuanzia kuwabeba tumboni, wakizaliwa pia kunyonyesha watoto wanne sio mchezo. Achilia mbali namna ya kuwabeba hata kama atakuwa na wasaidizi wanne hawawezi kumsaidia kila kitu.Wengine wanapata sita hadi nane hii fertility treatment ni mbolea kweli kweli.
Wengine wanapata sita hadi nane hii fertility treatment ni mbolea kweli kweli.
Wakiwa nane kwenye hospitali nyingine mama anapewa option wapunguzwe. Wengi wanakuwa na full bed rest mpaka wanajifungua.Daaah hiyo hapana kwa kweli naona kama mwanamke atateseka sana kuanzia kuwabeba tumboni, wakizaliwa pia kunyonyesha watoto wanne sio mchezo. Achilia mbali namna ya kuwabeba hata kama atakuwa na wasaidizi wanne hawawezi kumsaidia kila kitu.
Mapacha wakizidi wawili ni jukumu zito kwa kina mama. Hata kama mwanaume cash ipo.
Eeh sio mchezo, ama kweli hakuna kama mama.Wakiwa nane kwenye hospitali nyingine mama anapewa option wapunguzwe. Wengi wanakuwa na full bed rest mpaka wanajifungua.
1. Genetics, kama umezaliwa pacha au mama/baba alikuwa pacha una nafasi kubwa ya kupata watoto mapacha
2. Ukiwa unatumia fertility treatment au dawa kuna nafasi kubwa ya zaidi ya yai moja kurutubishwa. Tatizo au faida ya fertility treatment ni kupata watoto quadruplet yaani wanne au zaidi.
Ada ya English Medium x4Mhhh wanne hapana
Mmmmmmmhmn mambo ya kumpangia MUNGU uumbaji tutakuja leta watoto wasiokamilika.m au wenye madhaifu katika ukuaji.1. Genetics, kama umezaliwa pacha au mama/baba alikuwa pacha una nafasi kubwa ya kupata watoto mapacha
2. Ukiwa unatumia fertility treatment au dawa kuna nafasi kubwa ya zaidi ya yai moja kurutubishwa. Tatizo au faida ya fertility treatment ni kupata watoto quadruplet yaani wanne au zaidi.
Ushaambiwa hapo, tumia fertility treatment au dawa uwahi kumaliza zoezi la kukimbizana leba, ubakie na jukumu moja la kulea na kusomesha tu.Nataka hiyo nizae wa NNE funga kazi
Wee mwanangu wee utaweza walea na kuwatunza kisawa na ubora????? Mie mshahara NI 750k tu !!Nataka hiyo nizae wa NNE funga kazi