Je, kuna njia ya kupika mkate au keki bila kiweka hamira na baking powder?

cyrustheruler

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2015
Posts
2,044
Reaction score
1,869
Ndugu zangu mimi ni mpishi ninaependa kupika na pia kula vyakula vilivyoandaliwa kwa afya nimesoma na kuona kuwa matumizi ya viungo kama hamira baking powder na bicarbonate soda na vanilla na vinginevyo sio mazuri kwa afya sasa nimekuwa najiuliza kuwa

Je, ipo njia gani ili upike na upate mkate mzuri au keki au doughnut nzuri bila hayo madubwasha.

Nimejaribu kupika lakini sijapata matokeo mazuri naomba uzoefu wenu.
 
Hilo sotojo limegoma
 
Mkuu hamira watu huweka lbda kwa kutaka uumuke haswa ikiwa ni mkate wa biashara.
Ila baking powder ni muhimu katika mkate wa mayai.
 
Keki na mkate muhim sana hamira (kwa mkate) baking powder (kwa keki) husaidia kuivimbisha keki, na kuifanya iive ndani vizur kwa uelewa wangu

Hiko umetoa ts like biscuits, nilifikiri vileja mana hata vileja bakin powder unaweka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…