Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ndio hivi basi ni ujenzi wenye gharama sanaPicha yake sina ila check kwenye internet writing thermal insulation
Hivi sindio joto litakuua😂 jenga kuta nene tu kama nguzo za ghorofa laza tofali kama zinavyolazwa za kuchoma.Kama ndio hivi basi ni ujenzi wenye gharama sanaView attachment 3115395
Ila itapunguza gharama za matumizi ya AC in the futureKama ndio hivi basi ni ujenzi wenye gharama sanaView attachment 3115395
Mkuu hio system inatumika sehemu zenye baridi ili joto lisipotee kirahisi yaani iwe rahisi jengo kuwa heated na kuhifadhi joto.Wakuu habari zenu naomba muongozo nataka nifanye ujenzi ambao nitatia thermal insulation ili kupunguza joto la dar je vifaa hivi nitapata wapi na fundi wenye uzoefu na cavity wall
Kule vipindi vya joto ni vifupi kuliko baridi. Na wakati wa joto nyumba hizo zinakuwa na joto kali sana.Thermal insulation inafanyakazi kwenye joto na baridi msikalili wa tz hata texas kuna 40 degrees ya joto lakini huwa nyumba zinatiwa Thermal insulation
Hakuna kwasababu system hio haihitajiki bongo. Yaani hamna soko. Unaweza kuagiza China tu.Bongo zinauzwa wapi hizii bidhaa
Thermal insulation nikuzuia joto lisipotee ukutani sasa kwa mchana jua huwa lina piga ukutani maaana yake joto litazuiliwa lisiingie ndani na kipindi joto likiwa ndani kipindi chenye ubaridi na litazuiliwa lisipotee nje esasa sijui umenipataKule vipindi vya joto ni vifupi kuliko baridi. Na wakati wa joto nyumba hizo zinakuwa na joto kali sana.
Kwahiyo inafanya kazi automatically? Kwamba kukiwa na joto inaleta baridi, na kukiwa na baridi inaleta joto, si ndiyo?Thermal insulation inafanyakazi kwenye joto na baridi msikalili wa tz hata texas kuna 40 degrees ya joto lakini huwa nyumba zinatiwa Thermal insulation
Ishi kwenye nyumba ya udongo (clay) kutokana na ile thermal Mass yake ni kama natural air condition..., ila ndio hivyo tulishaaminishwa kuishi kwenye nyumba ya simenti ndio ujanja.....Kwahiyo inafanya kazi automatically? Kwamba kukiwa na joto inaleta baridi, na kukiwa na baridi inaleta joto, si ndiyo?