Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wanakujaKaribuni wakuu
Zanzibar ndo niliona hizi aina ya Nyumba zinazotumia thermal Insulation materials kule mradi wa Nyumba Fumba.Wakuu nataka ni jaribu jenga nyumba nitakayo TIA thermal insulation maana dar joto kali je vifaa hivyo nitapata wapi na mafundi wenye uzoefu na hii aina ya ujenzi
Labda nikuulizie kwa wale wanojenga nyumba fumbaKaribuni wakuu
Real Estate zinauzwa billioni mojaHauna hata tovuti yao au social media acc yao je kwa huku dar wanauza wapi hivyo vifaaa na hizo nyumba za Zanzibar ni kwa utalii au makazi ya watu