Je, kuna option ya waliotoka foundation kwenye system ya application ya UDOM?

Je, kuna option ya waliotoka foundation kwenye system ya application ya UDOM?

Akili_tz

New Member
Joined
Aug 22, 2023
Posts
1
Reaction score
0
Kabla sijaenda kusoma Foundation mwaka 2022, nilienda kuwauliza UDOM kwny maonesho ya Vyuo vikuu, wakanambia wanapokea, na kuna mtu alinambia kwenye system yao ya kuomba udahili ipo sehemu ya anayetokea foundation.

Lakini baada ya kumaliza nimeenda kwenye maonesho ya vyuo vikuu. UDOM wakanambia hawapokei.

JE KUNA WALIOBAHATIKA KUAPPLY UDOM MWAKA HUU WAKAONA OPTION YA WALIOTOKA FOUNDATION KWNY SYSTEM!?
 
Vyuo vikuu vinavyopokea ofp ya out ni vyuo vyote vya private, vya serikali ni DIT na Must
 
Back
Top Bottom