Hahahaha lolz
Jinsi ulivyosema dahh..
Ni kweli lakini nna rafiki yangu
Alienda Thai alikuwa mnene haswa<
. Karudi mie nnae pigika gym kidogo nilie..
Mwezi mmoja tu .. niajabu mtu yuko ka
Mzinga kesho anakupigia Bikini..
Angalia online utajua mengi...wapi kuzuri..,wapi bei na kazi zao za kuridhisha ...wapi wanalipua.Nimewaandikia, watanitumia their package cost within 24 hrs; so l will see!
Una testimony ya friends walioenda huko, wanasemaje?

Nimewaandikia, watanitumia their package cost within 24 hrs; so l will see!

Una testimony ya friends walioenda huko, wanasemaje?

WaThai noma kweli....kuna kipindi hua naangalia nabaki nashangaa!!

Angalia usije ukawa kama MJ, Kwanini usijikubali tu mkuu?
Hahahaha lolz
Jinsi ulivyosema dahh..
Ni kweli lakini nna rafiki yangu
Alienda Thai alikuwa mnene haswa
. Karudi mie nnae pigika gym kidogo nilie..
Mwezi mmoja tu .. niajabu mtu yuko ka
Mzinga kesho anakupigia Bikini..
Mbona mie sijawahi sikia kuhusu huko thai?Kwa kweli kapendeza haswa sasa hivi..
Kila kitu kilienda kama alivyopanga
Alipata huduma nzuri sana baada ya
Surgery ....
Ye alienda kwa holiday hajatuambia
Kuhusu surgery karudi tuko midomo wazi..
Mbona mie sijawahi sikia kuhusu huko thai?
ina maana ni wataalam sana kuliko kwengine duniani?
au ni urahisi tu wa bei embu funguka kwa faida ya wengi
well
kwa maelezo yake
yeye alienda sehemu inayoitwa Phuket thailand
na alikaa Millennium resort ambapo kwenye hiyo motel
kuna kila kitu pamoja na ma nurse ambao walikuwa wanamwangali
baada ya surgery ..Phuket International Aesthetic Center ndio hospital
aliyofanyiwa surgery (alifanya tummy tuck na kunyanyua matiti)
yeye hakuangalia sana bei ... ...... alichotaka ni surgery ..

Other option ..

Try Thailand .......

Ndudu yangu ni bora ukabaki na pua yako ilivyo hivi sasa. Hakuna guarantee kwamba matokeo ya plastic surgery yatakuridhisha - waweza kuhitaji nyingine tena kufanya usahihi!
Ok poa hv tummy tuck baada ya operation tumbo halitepeti
The Trauma CentreBlack berry tell me more kuhusu hiyo ya Masaki; contacts zao if possible!
ina maana wanakata kabisa kwa hiyo unakuwa na li alama la operation?Wanapunguza na ile nyama ya juu/ngozi alafu wanashape!!