Je, kuna power safe ya vidonge?

Je, kuna power safe ya vidonge?

Dolla_Mbili

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2017
Posts
1,207
Reaction score
2,981
Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya Muungano wa Tanzani wana Jukwaa hili, nikitumaini wote tunaendelea vyema na Mfungo mwema wa Ramadhani lakini tukikaribia kualika pasaka hivi karibuni.

Bila kuwachosha na maneno mengi jambo kubwa nilitaka kujua kama kuna Power safe ya vidonge mbali na sindano kama ilivyozoeleka......

Naomba kuwasilisha nikitumaini majibu kutoka kwenu wadau
 
Back
Top Bottom