Je kuna program hii ya PCM? Mshahara zaidi ya 2,000,000

Je kuna program hii ya PCM? Mshahara zaidi ya 2,000,000

Mr.panya

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2014
Posts
248
Reaction score
278
habari zenu wakuu. Nauliza kama kuna kozi yoyote ya pcm kwa matokeo haya cbb respectively ambayo itaweza kuja kunilipa atleast 2,000,000 per month? na ni kwa chuo gani
 
unataka 2M per month? haha.. kwa ajira ipi hiyo TZ? unataka kugombea ubunge kwa PCM? if all u think of is money n not knowledge bac usha fail tayari.

Mambo ni magumu chuoni hasa engineering huku usidhani utaibukia tu ovyo ovyo.. kama hujaweka moyo wako hapo unawaza hela utakimbia chuo.. sijui kwa nini watu ka wewe wamejaa sana bongo
 
unataka 2M per month? haha.. kwa ajira ipi hiyo TZ?? unataka kugombea ubunge kwa PCM? if all u think of is money n not knowledge bac usha fail tayari... mambo ni magumu chuoni hasa engineering huku usidhani utaibukia tu ovyo ovyo..kama hujaweka moyo wako hapo unawaza hela utakimbia chuo.. sijui kwa nini watu ka wewe wamejaa sana bongo
Acha mawazo ya kimaskini
 
Kasome kwanza usiwaze mishahara maana nakwambia kuna watu hawana degree wanalipwa 3m na walio na degree wanalipwa 300k..
 
Acha mawazo ya kimaskini

maskini wewe hapo, u r ignorant n u dont know it.. we unawaza milioni mbili unaona mawazo ya kitajiri? hahaha pole sana dogo, hela ya kifungua kinywa... ukiambiwa ukweli unavunga kutukana, umekaa unawaza kuajiriwa tu na kulipwa 2m, ungekua na mawazo ya kitajiri si ungekaa uwaze kujiajiri, afu ungekua unajua moja kwa moja unataka nini, hata cha kusomea hujui unakuja kutukana watu usiowajua.. ignorant.
 
maskini wewe hapo, u r ignorant n u dont know it.. we unawaza milioni mbili unaona mawazo ya kitajiri? hahaha pole sana dogo, hela ya kifungua kinywa... ukiambiwa ukweli unavunga kutukana, umekaa unawaza kuajiriwa tu na kulipwa 2m, ungekua na mawazo ya kitajiri si ungekaa uwaze kujiajiri, afu ungekua unajua moja kwa moja unataka nini, hata cha kusomea hujui unakuja kutukana watu usiowajua.. ignorant
kwani mi si niliuliza tu kama IPO au haipo.sasa ww si ungejibu tu Kua hakuna! tatzo hujui kujibu kistaarabu
 
Kasome kwanza usiwaze mishahara maana nakwambia kuna watu hawana degree wanalipwa 3m na walio na degree wanalipwa 300k..
Poa bro but niliuliza hvy maana nyumbani lyf ni chenga kinyama ndio mana nafuatilia Kaz ambay itakuja kunisaidia mm na our family.

Lkn sio kama sipend kusomea kilicho moyon mwangnapend sana kusomea ndoto zang lkn ndio hivy naona nitasumbuka sana Baadae Maana ni TELECOM ENG
 
alama flat na una expectation kuuubwaaa....HUKO CHUO UNATAKA KWENDA KUCHUKUA AU KUSOMEA BACHELOR DEGREE!!??.. kuna supplimentaries..discontinued..frustations...kujiua...JIPANGE KUVUKA DARAJA KWANZA USIWE KAMA SCOLARI UNAZUNGUMZIA FAINALI WAKATI HUJACHEZA NUSU FAINALI NA THE GERMANS..wenye saba zao mfukoni
Sawa mkuu lkn lengo langu mfano nikishavuka hilo daraja je hiyo jitihada niliyoitumia kuvuka hilo daraja itakuja kunisaidia/itanisaidiaje?
 
Sawa mkuu lkn lengo langu mfano nikishavuka hilo daraja je hiyo jitihada niliyoitumia kuvuka hilo daraja itakuja kunisaidia/itanisaidiaje?

.. hebu preview hizi course
1.civil engineering
2:telecommunication engineering
3:mineral engineering
(Ardhi...udsm)
 
Poa bro but niliuliza hvy maana nyumbani lyf ni chenga kinyama ndio mana nafuatilia Kaz ambay itakuja kunisaidia mm na our family. Lkn sio kama sipend kusomea kilicho moyon mwang„napend sana kusomea ndoto zang lkn ndio hivy naona nitasumbuka sana Baadae Maana ni TELECOM ENG
so unahisi Telecom Eng wanaangaika????....poor you...lack of exposure inakusumbua mdogo wangu
 
so unahisi Telecom Eng wanaangaika????....poor you...lack of exposure inakusumbua mdogo wangu

Hajui maskini ya mungu.. anataka kazi zenye mpunga mkubwa..course zenyewe hazijui... anadhani telecom eng ni sawa na community devpt..sociology.education..pub adm
 
so unahisi Telecom Eng wanaangaika????....poor you...lack of exposure inakusumbua mdogo wangu
Nyie wajamaa mnashindwa kumuelekeza mtu kistaarabu!! Mm hayo mambo naskia tu kwa watu sasa si munielekeze tu kua sivyo hivyo ninavyofikiria lakin sio kunambia hayo magumashi.
 
Nyie wajamaa mnashindwa kumuelekeza mtu kistaarabu!! Mm hayo mambo naskia tu kwa watu sasa si munielekeze tu kua sivyo hivyo ninavyofikiria lakin sio kunambia hayo magumashi.

Chill out kijana.. fanya kufuatilia hizo course nlizokuwekea hapo na hivyo vyuo mdogo wangu....
 
Aisee lyf after university inategemea zaidi na jinsi ubongo wako unachemka, ukisoma unaota "mishahara mikubwa" utakufa maskini!
Infact ujasiriamali unalipa mara mia!
 
mkuu mr. panya.. lyf kitaa ni taiti. so kama hom kwenu hakueleweki, we soma zako education, ukimaliza unakaa zako kitaa miezi mi 5 au 6 kishA serikali inakuajiri mshAhara laki sita na ushee. hizo koz za pcm kuna msoto mwingi kama vile kusapu, kucary coz, kupata gentle kwenye shahada yako na hata kudisco. so kama hom hakueleweki chukua education ili usije kuwapa tabu familia yako na wewe mwenyewe.
 
Kwa wakati huu, tele sijawahi ona kazi zake. Pia tanzania hakuna mshahara huo kwa mtu wa degree ya I, ila sijui TRA. Me si engineer ila nashauri usome civil engineering udsm au agr engineering sua. utakuwa poa mtaani na kazini. pia angalia petroleum engineering hata comp engineering na electrical.

Ila ujue kusoma si hela au mshahara bali wapi utapata kazi na kujituma kwako.
 
Dreams za wanachuo na wanaotarajia kuingia vyuoni ni kua na kazi nzuri,maisha ya hali juu kwa vile wakiona magari barabarani na majumba wanajua ni mishahara hawataki kujua chuo atamaliza vipi kuna mchangiaji kasema hapo kuhusu supp, disco, carryover, stress na kujiua + unarudi mtaani unaanza kutembea na bahasha ya khaki huku unaongea pekee yako barabarani.

Dogo chuo ni zaidi ya unavyokisikia kuna mengi tu haujaambiwa mpaka mtu anamaliza wewe ukipata nafasi kakaze hasa aya mambo ya kuhoji mshahara leo hata haujagusa chuo utajikuta mikono kichwani.
 
kaajiliwe mbele kama unataka mshahara huo.. bongo watakuzingua tu
just fly away
 
Back
Top Bottom