Acha mawazo ya kimaskiniunataka 2M per month? haha.. kwa ajira ipi hiyo TZ?? unataka kugombea ubunge kwa PCM? if all u think of is money n not knowledge bac usha fail tayari... mambo ni magumu chuoni hasa engineering huku usidhani utaibukia tu ovyo ovyo..kama hujaweka moyo wako hapo unawaza hela utakimbia chuo.. sijui kwa nini watu ka wewe wamejaa sana bongo
Acha mawazo ya kimaskini
kwani mi si niliuliza tu kama IPO au haipo.sasa ww si ungejibu tu Kua hakuna! tatzo hujui kujibu kistaarabumaskini wewe hapo, u r ignorant n u dont know it.. we unawaza milioni mbili unaona mawazo ya kitajiri? hahaha pole sana dogo, hela ya kifungua kinywa... ukiambiwa ukweli unavunga kutukana, umekaa unawaza kuajiriwa tu na kulipwa 2m, ungekua na mawazo ya kitajiri si ungekaa uwaze kujiajiri, afu ungekua unajua moja kwa moja unataka nini, hata cha kusomea hujui unakuja kutukana watu usiowajua.. ignorant
Poa bro but niliuliza hvy maana nyumbani lyf ni chenga kinyama ndio mana nafuatilia Kaz ambay itakuja kunisaidia mm na our family.Kasome kwanza usiwaze mishahara maana nakwambia kuna watu hawana degree wanalipwa 3m na walio na degree wanalipwa 300k..
Sawa mkuu lkn lengo langu mfano nikishavuka hilo daraja je hiyo jitihada niliyoitumia kuvuka hilo daraja itakuja kunisaidia/itanisaidiaje?alama flat na una expectation kuuubwaaa....HUKO CHUO UNATAKA KWENDA KUCHUKUA AU KUSOMEA BACHELOR DEGREE!!??.. kuna supplimentaries..discontinued..frustations...kujiua...JIPANGE KUVUKA DARAJA KWANZA USIWE KAMA SCOLARI UNAZUNGUMZIA FAINALI WAKATI HUJACHEZA NUSU FAINALI NA THE GERMANS..wenye saba zao mfukoni
Sawa mkuu lkn lengo langu mfano nikishavuka hilo daraja je hiyo jitihada niliyoitumia kuvuka hilo daraja itakuja kunisaidia/itanisaidiaje?
so unahisi Telecom Eng wanaangaika????....poor you...lack of exposure inakusumbua mdogo wanguPoa bro but niliuliza hvy maana nyumbani lyf ni chenga kinyama ndio mana nafuatilia Kaz ambay itakuja kunisaidia mm na our family. Lkn sio kama sipend kusomea kilicho moyon mwang„napend sana kusomea ndoto zang lkn ndio hivy naona nitasumbuka sana Baadae Maana ni TELECOM ENG
so unahisi Telecom Eng wanaangaika????....poor you...lack of exposure inakusumbua mdogo wangu
Nyie wajamaa mnashindwa kumuelekeza mtu kistaarabu!! Mm hayo mambo naskia tu kwa watu sasa si munielekeze tu kua sivyo hivyo ninavyofikiria lakin sio kunambia hayo magumashi.so unahisi Telecom Eng wanaangaika????....poor you...lack of exposure inakusumbua mdogo wangu
Nyie wajamaa mnashindwa kumuelekeza mtu kistaarabu!! Mm hayo mambo naskia tu kwa watu sasa si munielekeze tu kua sivyo hivyo ninavyofikiria lakin sio kunambia hayo magumashi.