Poa bro but niliuliza hvy maana nyumbani lyf ni chenga kinyama ndio mana nafuatilia Kaz ambay itakuja kunisaidia mm na our family. Lkn sio kama sipend kusomea kilicho moyon mwangnapend sana kusomea ndoto zang lkn ndio hivy naona nitasumbuka sana Baadae Maana ni TELECOM ENG