Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,340
- 4,659
Serikali imejiandaa vipi dhidi ya wahujumu uchumi na mali za shirika la reli Tanzania? Kama tunavyojua treni zinaweza kuwa mbadala mkubwa wa mabasi ya mikoani DAR TO MORO na wamiliki wa mabasi hawatokuwa nyuma kuhujumi uchumi wa shirika.
walamsiki
walamsiki