Africa Tanzania
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 1,504
- 2,272
Hivi wakuu, kwenye suala la mikopo hakuna sheria ya nchi kupitia BOT inayoongoza hizi riba?
Kwanini riba ya NMB, CRDB, TPB BANK n.k zinatofautiana? Riba constant ya nchi ni ipi kisheria kwa kila mkopo?
Halafu hizi riba za Hawa BAYPORT, PLATNUM n.k zinaonekana ni kubwa kuliko riba za mabenki hii ikoje? Sheria imetamka lolote kuhusu ukomo (in maximum) wa riba za taasisi kama hizi?
Au mtoa huduma kupitia sheria zake ndio anajipangia atoze riba kiasi gani?
Wajuzi mnitoe tongotongo[emoji41][emoji41][emoji41]