Je, kuna sheria katika riba za mikopo ya hizi taasisi?

Africa Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2015
Posts
1,504
Reaction score
2,272
Hivi wakuu, kwenye suala la mikopo hakuna sheria ya nchi kupitia BOT inayoongoza hizi riba?

Kwanini riba ya NMB, CRDB, TPB BANK n.k zinatofautiana? Riba constant ya nchi ni ipi kisheria kwa kila mkopo?

Halafu hizi riba za Hawa BAYPORT, PLATNUM n.k zinaonekana ni kubwa kuliko riba za mabenki hii ikoje? Sheria imetamka lolote kuhusu ukomo (in maximum) wa riba za taasisi kama hizi?

Au mtoa huduma kupitia sheria zake ndio anajipangia atoze riba kiasi gani?

Wajuzi mnitoe tongotongo[emoji41][emoji41][emoji41]
 
Si uende kwenye riba ndogo we umewekewa makande na pilau utaanzaje kuchagua makande
 
Mkuu kutana na hizi taasisi vidogo vidogo ndo vinawaliza akina mama wajasiriamali kinyama maana wahajui abari hata za % za riba
 
Tatizo la Nchi yetu, waliopo kwy sectors za mabenki wanawachukulia poa sana, watu wa kawaida na kuwadharau na ndio maana hawataki kufanya bihashara ya mikopo na mtu ambae hana mshahara. Na hiii imepelekea wengi wasiokuwa na mishahara kutopenda kujihusisha na mabenki wanatumbukia kwy vikoba ambako uko wanapigwa pesa nyingi sana. Alafu serikali haina wafatiliaji, wengi ni wajanja wajanja na wezi tuuu, na wananufaika na wizi uliopo ktk sectors za mikopo. Ukienda bank ukiwaulizia kwamba nataka kuchukua kiasi fulani kwa mwaka kadhaa hatakwambia ukweli utasikia kwa mwezi utalipia hiii ukimwambia nataka asilimia nitakayorudisha lazima hakupige chenga usijue na ndio apo janja janja inapokuwepo. Nchii hii waliopo kwy sectors za benki wanakuwaga wanawaza watu wote hawajui hesabu.
 
In fact ni bora kupata mkopo kutoka kwenye benki kubwa kuliko ndogo sababu uwepo wa riba kubwa pia utegemea mtaji wa kampuni(bank or non bank) husika, lakini pia hizi taasisi pia zinapata mikopo ya kukuzia mitaji yao toka nje in terms of dollars ambazo marejesho yake yanategemea pia trend ya dollars nchini sababu biashara za kibenki katika nchi masikini ni mashaka matupu sababu hasa za kiuchumi na kisiasa mfano inflation, civil wars, ufisadi na rushwa sasa kuepuka/kupunguza risk ya rejesho ndio maana watoa fedha hizo hasa benki za nje zinaweka riba kubwa incase hata benki ikishindwa rejesha baadhi ya marejesho wawe kidogo wamejifidia, hii yote sababu BOT haina fedha za kutosha kuweza zikopesha taasisi za fedha kukuza mitaji yao that's why benki nazo mzigo wanambebesha mkopaji, so hata BOT haina cha kufanya kwenye hilo.
 
Services matter / lakini ni bora kwenda kwenye taasisi ambayo itakuwa na riba inayokupendeza wewe kutegemeana na jambo na uharaka wako kwa kile utakacho kukifanya/
KUMBUKA;-
MABENKI HUWEKA RIBA ZAO KUTOKANA NA SERVICES FULANI FULANI AMBAZO HUWAKABILI / MFANO,BIMA,KUKABILIANA NA WALE FAILURE AU WATAKAOSHINDWA KULIPA,PIA GHARAMA ZA KUJIENDESHA,KULIPA WAFANYAKAZI WAKE,UMEME MAJI KODI AND A LOTS OF#SHITS.
#NENDA PALE AMBAPO UNAONA PANAKUFAA MF,TPB HAWA WANA RIBA NZURI SANA.
#CHOICE IS YOURS😛
 
Sheria na miongozo ipo... tatizo lipo kwenye hizo sheria kuwekewa mkazo...


Cc: mahondaw
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…