hemedy ibrah
New Member
- Nov 4, 2016
- 4
- 1
Ndugu zangu, tumekuwa tukishuhudia baadhi ya askari police wakiwakamata kwa kuwastukiza watu bila kuwapa taarifa zaidi juu ya kitu walichomkamatia.
Tena wana msemo ya kwamba ukitaka maelezo zaidi utayajua huko huko kituoni.
Je swali langu ni kwamba kuna sheria yoyote inayoweza kumlinda mtuhumiwa ili kukiepuka kitendo hiko cha udhalili?