Je, kuna software ya kufuta mafaili yaliyojirudiarudia ktk computer kwa pamoja?

Je, kuna software ya kufuta mafaili yaliyojirudiarudia ktk computer kwa pamoja?

dvj nasmiletz

JF-Expert Member
Joined
Jul 23, 2018
Posts
2,079
Reaction score
2,254
Computer imejaa lakini nimegundua vitu vipo mara mbili mbili au zaidi. Yaani faili hilohilo lipo locations tofauti tofauti.

Je, naweza kuserch na kufuta at once libaki file moja tu.
 
Unaweza kukuta wimbo wa baba paroko upo mara 10 katika folders tofauti tofaut sasa nataka libaki moja tu.
 
Back
Top Bottom