dvj nasmiletz JF-Expert Member Joined Jul 23, 2018 Posts 2,079 Reaction score 2,254 Feb 17, 2021 #1 Computer imejaa lakini nimegundua vitu vipo mara mbili mbili au zaidi. Yaani faili hilohilo lipo locations tofauti tofauti. Je, naweza kuserch na kufuta at once libaki file moja tu.
Computer imejaa lakini nimegundua vitu vipo mara mbili mbili au zaidi. Yaani faili hilohilo lipo locations tofauti tofauti. Je, naweza kuserch na kufuta at once libaki file moja tu.
dvj nasmiletz JF-Expert Member Joined Jul 23, 2018 Posts 2,079 Reaction score 2,254 Feb 17, 2021 Thread starter #2 Unaweza kukuta wimbo wa baba paroko upo mara 10 katika folders tofauti tofaut sasa nataka libaki moja tu.
Unaweza kukuta wimbo wa baba paroko upo mara 10 katika folders tofauti tofaut sasa nataka libaki moja tu.
Walec JF-Expert Member Joined Apr 22, 2017 Posts 1,364 Reaction score 3,326 Feb 17, 2021 #3 Tumia any duplicate finder mfano hii Download Wise Duplicate Finder Pro v1.3.8.52 Multilingual Portable [FTUApps] Torrent | 1337x 1337x.to Itascan file zilizojirudia na kudelete
Tumia any duplicate finder mfano hii Download Wise Duplicate Finder Pro v1.3.8.52 Multilingual Portable [FTUApps] Torrent | 1337x 1337x.to Itascan file zilizojirudia na kudelete
ymollel JF-Expert Member Joined Aug 23, 2012 Posts 3,096 Reaction score 2,287 Feb 18, 2021 #4 Walec said: Tumia any duplicate finder mfano hii Download Wise Duplicate Finder Pro v1.3.8.52 Multilingual Portable [FTUApps] Torrent | 1337x 1337x.to Itascan file zilizojirudia na kudelete Click to expand... Sasa shida ni kama ameSave kwa majina Tofauti. Kwa mfano Baba paroko.mp3 na Baba Paroko Audio.mp3
Walec said: Tumia any duplicate finder mfano hii Download Wise Duplicate Finder Pro v1.3.8.52 Multilingual Portable [FTUApps] Torrent | 1337x 1337x.to Itascan file zilizojirudia na kudelete Click to expand... Sasa shida ni kama ameSave kwa majina Tofauti. Kwa mfano Baba paroko.mp3 na Baba Paroko Audio.mp3
dvj nasmiletz JF-Expert Member Joined Jul 23, 2018 Posts 2,079 Reaction score 2,254 Feb 18, 2021 Thread starter #5 Walec said: Tumia any duplicate finder mfano hii Download Wise Duplicate Finder Pro v1.3.8.52 Multilingual Portable [FTUApps] Torrent | 1337x 1337x.to Itascan file zilizojirudia na kudelete Click to expand... Itadelete zote au itaacha moja
Walec said: Tumia any duplicate finder mfano hii Download Wise Duplicate Finder Pro v1.3.8.52 Multilingual Portable [FTUApps] Torrent | 1337x 1337x.to Itascan file zilizojirudia na kudelete Click to expand... Itadelete zote au itaacha moja
Walec JF-Expert Member Joined Apr 22, 2017 Posts 1,364 Reaction score 3,326 Feb 18, 2021 #6 dvj nasmiletz said: Itadelete zote au itaacha moja Click to expand... Itaacha moja