Friedrich Nietzsche
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 2,095
- 3,649
1. Kibongo'to hospital(zamani ilikuwa Ina deal na TB sugu,lakini sikuizi Ina deal na magonjwa yote ya kuambukiza.
2.Pia hospital kubwa nchini, Muhimbili, Bugando,KCMC etc utapa msaada wa kutosha.
Kilimanjarokibong’oto iko wap
Kilimanjaro
Nitafute Kwa namba 0692089464 utapata suruishoHabari wa wakuu!!
Nilikua nahitaji kujua kama kuna Dakitar au specialist au institution inayojihusisha na magonjwa sugu ya kuambukiza!!
Hapa tuondoe yale magonjwa yasiyoambukiza kama kisukari,moyo pressure na kadharika!!
Magonjwa sugu yanayoambukiza kama UTI sugu, Fungus, magonjwa ya zinaa, covid, mafua nk?
Au kama kuna institution inadeal na hayo magonjwa sugu yaliyoshindikana kupona kwa njia ya matibabu ya kawaida tujuzane.
Utapata suruishoHabari wa wakuu!!

Nitafute Kwa namba 0692089464 utapata suruisho
Utapata suruisho
Kwa Dsm nenda Muhimbili ukutane na Infectious diseases specialist.Hawana branch dar??
Aisee !!kibong’oto si tb tu hawa1. Kibongo'to hospital(zamani ilikuwa Ina deal na TB sugu,lakini sikuizi Ina deal na magonjwa yote ya kuambukiza.