incredible terminator
JF-Expert Member
- Aug 1, 2016
- 2,498
- 4,162
Habari wana jf Mimi nimekuwa mfuatiliaji mzuri wa mtandao wa Jamii forum
Nimekuwa miongoni mwa watu wanaojivuania ushauri pamoja na mawazo yanayoambatana na fulsa kadha wa kadha zinazotolewa na wanandugu wa jamii forum ama hakika wanajukwaa hili tunaishi zaid ya ndugu!
Kuna sehem nimekuw nikiifuatilia takriban Mwaka mzima ili nikafungue Genge la chakula baada ya kuona maeneo haya ninayokaa kuwa na tatizo la uhaba mkubwa wa sehemu ya chakula iliyo imara kwa chakula mda wote ila mmiliki wa eneo hilo amekuw akinikatalia kutokana na kuw sehem hii aliitumia kama sehem ya kuuzia pombe, cha ajabu leo mchana amenifuata na kuniomba nimpe hela anikodishe sehemu hiyo jambo ambalo had saiz limeninyima fulaha kwan kwa mda huu sina hela mkononi kwa uharaka ya kumlipa na kufungua ofisi nilioiwazia,
Nimekaa nimefikiria nimeona bora nilete wazo lango hapa jukwaani ili nisaidiwe na wana ndugu ni namna gani ninaweza kufanya ili nipate mkopo 1.7m ili nifanikishe mkakati wangu.
Binafsi sina uzoefu na Taasisi za kutoa mikopo japo nasikia kuwa lazima uwe na wadhamini Nyumba, Miti, Gari au hata asset yeyote ambayo inaweza kufidia deni ukishindwa kurejesha hali ambayo kwangu inaweza kunikosesha msaada kwa kuwa vitu vyote hivyo sina ila kwa akili nikiyopiga na kwa uzoefu wa biashara ndogo ndogo ambazo ninafanya nina uhakika kwa kias hicho kikipatikana uhakika upo wa kurudisha hela hiyo,
Ningeomba msaada wa wazoefu lakin nTatzo ni kwamba sehem hii inagombaniwa kutokana na site yake, kila mtu anaelewa vzuri mji wa dodoma anaihitaji hapa nikichelewa wiki moja itakuwa tayar imechukuliwa hivyo nitaikosa!
Nipo Dodoma kwa anaeweza kunisaidia kwa usahuri, maoni, etc
nitamtumia mawasiliano yangu personal!