Je kuna tinted za kubandika madirisha ya majumbani? (siyo za kubandika vioo vya gari)

Je kuna tinted za kubandika madirisha ya majumbani? (siyo za kubandika vioo vya gari)

Tuo Tuo

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2013
Posts
678
Reaction score
1,202
Kichwa cha habari cha husika!

Kwenu wataalam Je kuna tinted za kubandika kwene vioo vya majumbani?

Binafsi najua zile wanabandika kwene magari
 
IMG_0562.jpg

hyo hapo
 
Kichwa cha habari cha husika!

Kwenu wataalam Je kuna tinted za kubandika kwene vioo vya majumbani?

Binafsi najua zile wanabandika kwene magari
Ya Kubandika kioo cha gari ukibandik akwenye kioo cha nyumba itakua na shida gani??
 
Back
Top Bottom