Je Kuna ubaya kupangiwa kituo cha kazi mitaa ya home

BUMIJA

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2011
Posts
5,950
Reaction score
11,295
Mdogo wangu kapangiwa kazi maeneo ya hapa wilaya ya Mwanga na anasema hataki kufanyia kazi hapa,anasema akipata mtu wa kubadilshana nae akaenda Tanga,Ye ni GradeA.Jameni tumemshauri hajafurahi kupangiwa home.::::::
 
Labda amegundua kuna mpango wa familia kumfilisi mshahara wake wote.
 
Kila mtu anakazi yake hakuna wa kumtegemea yeye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…