Je, kuna ubaya Tanzania ikavikwapua na kuvifanya visiwa vya Comoro sehemu ya Tanzania?

Kwani Australia si ilikuwa ya watu weusi wanaitwa Aborigines, wazungu wamewaua karibu wote na kujitwalia kiulaini lile bara. Ila tuachane na hilo.
Aborigine hawajaisha wote wapi na majuzi hapa wameshinds kesi Fulani kupewa maeneo yao ya kimila. Mbona tz yetu ni kubwa mno?!? Kwa nini tutamani kukwapua nchi za wengine?!?wanaponunua ng'ombe wazimawazima toka kwetu kosa ni letu, hatujiongezi,tutafute masoko ya nyama wenyewe!!!
 
Nimesema 'Karibu wote' sio 'wote'
 

Nishikwe stress na nani?

Can anybody pay me kwa kua na stress?

Nobody!

Tanzania ina regress kwenye shithole status!

Thats a FACT!

Na yote inajionesha kwenye democratic processes,judicial system,governance,economy,etc!

Unabisha sababu wewe mnafiki!

Na kuna mchakato wowote Tanzania inaenda kuiomba Comoro kuimeza kama Zanzibar?

Je,kuna ombi lolote Comoro imeleta eti inaomba ukoo na Tanzania of any shape or form?

Au ni ndoto zako binafsi za alinacha unazofikiria kwenye ubongo wako wenye amnesia?

Zanzibar inataka kujitoa kila kukicha then Comoro ije itakw ukoo kwenye huu ujinga?

Since when au ni lies tupu?

Hakuna ombi au upumbavu wa namna hiyo!

Sana sana labda level ya ushirikiano wa kibalozi,full stop!

Nani anataka aje apoteze his sovereignty kwa hili li-rugged very bad governed hell hole?

Na nani dunia hii anataka kupoteza sovereignty ya nchi kwa nchi ingine?

Nobody!

Hii ni wishful thinking mnaota na hai make any sense!
 
Sasa kwa uandishi huu ni frustrations au stress? Hahah, unataka ulipwe ili uwe na stress, ngoja wenye hela za mchezo watakupa; kwahiyo shithole ni nini hasa, tusije bishana ambacho hatujaweka criteria zake wazi, tupe criteria ya shithole halafu nitakudhirishia kwamba kwa basis yoyote ile , kuna some 'shitholeness' in every corner of the world, ni kwamba media za dunia zinaconcentrate huku subsaharan na kuficha kwao, na umeshakuwa brainwashed into self hate, its quite evident in your comments, poor thing.kusema tu vaguely kwamba inajionesha kwenye democracy, economy na judiciary ni upunguani, Tanzania is ademocracy to as far as it is safe for our stability,ikizidicni machafuko, economy ipo vizuri kiasi cha kuweza kusustain major development projects kama SGR, Rufiji nk., corrupt justice systems zipo kila mahali na hasa huko kwa wenzetu corruption kwenye judiciary iko very rampant, huwezi linganisha na hapa kwetu. Hizo porojo zingine zote ni assertions za kwako, ninachosema umoja ni nguvu, utengano ni udhaifu, kama kuna challenges zozote zinazokwamisha au kuleta ugumu katika muungano basi yatatuliwe maana mengi ni ya kuketwa na wasiofuahia muungano.
 
Soma hiyoo...

7 Na nguruwe, kwa sababu yeye anazo kwato, ni mwenye miguu iliyopasuka kati, lakini hacheui, yeye ni najisi kwenu.
8 Msiile nyama yao, wala msiiguse mizoga yao; hao ni najisi kwenu.
Nasubiri mistari ya ngamia pia.
 

I cant read this nonsense!

Its depressing!

Uandishi wa insha ulijifunza wapi aisee?

Your writing skills are in ICU!

Weka paragraph iwe rahisi kufatilia,hapo I cant even attempt to read squat!

Umoja ni nguvu,utengano ni ushaifu umesema wewe!!

Ulidanganywa na Nyerere hivyo!

Hakuna nchi huru inakuja Tanzania kuomba ukoo ipoteze sovereignty yake!

Deal with it!

Mengine yote ni una run circles tu na upumbavu!

Nchi ina regress towards shitholeness!

Hutaki andamana!
 
Hahah..., punguza munkari, bahati nzuri hili sio jukwaa la lugha, na paragraph siachi.., 'umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu' hayo si maneno yangu, ni common knowledge, refer USA, Russia, China, India, what do they have in common? Unaishiwa hoja unatafuta kichaka ukaharishe sio? Don't ridicule me, ridicule my arguements.
 

Munkari umeona wewe binafsi,which you are entitled with your own observations!

Usichukulie eti sio jukwaa la lugha then uhalalishe uandishi na matumizi ya lugha mabovu even beyond repair!

Umoja ni Nguvu na Utengano ni Udhaifu ni wewe na wenzako,Wacomoro au Wazanzibar hawataki kusikia!

Kaeni na Umoja ni nguvu wenu wenyewe!

Kufananisha USA,USSR/Russia na India ambazo zote ni federations zenye majimbo independent kabisa na katiba zake na mabunge na sheria zake independently na linchi ambalo halina majimbo ni upumbavu!

Inaonesha hata Civics ulifeli kabisa!

Hujui tofauti ya nchi za federations na United republics?

Nchi zote hizo ulizotaja ni federations ya serikali huru za majimbo huru ila zimenyimwa kutambuliwa kama nchi zikiungwa na central government,tena kwa US state government ni powerful zaidi ya federal government.

Ndio unakuja fananisha na muungano wa TZ na Zanzibar au hiyo suggestion ya kipuuzi unayotoa ya Comoro?

Comoro hawawahitaji,hakuna nchi yoyote independent inaihitaji Tanzania kwa lolote,even Zanzibar haitaki kuwemo kwenye huu upumbavu!

Na hiyo suggestion ya Comoro kujiunga na Tanznania ni upumbavu na sababu ulizotoa ni za kipumbavu na Comoro unayoomba ijiunge haitambui na haitakaa itake kujiunga na shithole na haina haja hiyo from economics and politics point of view,ni useless!

Sovereignty of Comoro or any country is more valuable than merger with any country on earth!
 
Kuanzia sasa najibu hoja tu, sitajibu tena porojo.
1.) Suala la kwamba umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu ni a fact, sidhani kama iko subject to discussion, wewe ni nani uje useme waComoro na waZanzibar hawataki muungano? Hiyo referendum uliifanya lini hadi ukapata hayo maoni yao kwamba unanimously hawataki kuungana?

2.) Kusema kwamba USA, China, Russia na India ni federations sioni tatizo, labda tu utoe mapendekezo kwamba nasi tuungane kwa mfumo huo wa federation, that makes sense lakini sio ku-preempt moja kwa moja any attempts at an integration.

3.) Hayo ya kuita Muungano ni upumbavu ni porojo, sijibu porojo sababu hujaonesha upumbavu wa muungano ni hupi hasa, if anything ina-reveal upumbavu wako wewe
 

1.Ni fact kikwako,sio kwangu atleast!Utengano ndio nguvu!Wewe unaona tisa mimi naona sita!Lets keep our observations to ourselves personally!

Nachosema Wacomoro hawataki na wala hawajawahi kuja kuomba huo upumbavu hapa TZ ni kweli maana hawajawahi kuja mpaka sasa!

Kama walikuja tuambie ni lini na weka evidence hapa!

Kwahiyo my argument is correct kwamba hawataki chochote maana mpaka sasa hawajawahi kuja hapa kwa lolote lile in those lines!

Wazanzibar hawataki muungano na takwimu zipo kila siku na wala hili halina mjadala!

Hutaki andamana!

2.Hakuna nchi zinaungana duniani sasa,never!Zinatengana zaidi sababu kila kipande cha ardhi chenye watu kinataka sovereignty na wewe unaketa upumbavu wa miaka hiyo ya giza!

Upumbavu wa suggestions zako za kuungana ni waste of space here na sababu ukizotoa ni very very silly!

3.Muungano ni nonsense maana Zanzibar hawawahitaji!Thats the FACT!

Hutaki,andamana!
 
Kumbe najadiliana na taahira? Tuishie hapa..

Kumbe unamjibu taahira basi wewe ni taahira zaidi!

Huna lolote!

Utengano ndio nguvu,ndio sovereignty!

Wanadamu sisi by nature ni wabinafsi,na utengano ndio nature yetu

Huo muungano unaopigia makelele hapa ni foreign concept to humans ndio maana capitalism ina flourish na hizo communism na socialism zenu zimekufa!

Ndio maana miungano yote duniani imekufa!

Na wewe unarudi kwenye mambo yale yale Nyerere yalimshinda!

Unajifanya poor man’s Nyerere impositor aliefeli with all those abstract nonsenses!

Utangano ndio nguvu,muungano ni unyonyaji na upumbavu!

Hutaki,andamana!
 
Tukimaliza Comoros tuiangalie na Burundi pia
 
Sawa, jitenge kaanzishe nchi yako uishi peke yako ili uwe mtu mwenye nguvu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…