Je, kuna ubaya Tanzania ikavikwapua na kuvifanya visiwa vya Comoro sehemu ya Tanzania?

Kwani ss kuna mchakato wowote unaoendelea wa kuungana na Comoro?
 
Mtu mmoja hawezi kua nchi!

Definition ya nchi ulijifunza wapi mzee??

Mr Umoja ni Nguvu

Buaahaahaaaa
Kwani lengo ni kuwa nchi au lengo ni kuwa mwenye nguvu? Jitenganishe vipande vipande huo mwili wako ili uwe na nguvu zaidi.
 
Aisee mnatujazia server za jf
 
Kwani lengo ni kuwa nchi au lengo ni kuwa mwenye nguvu? Jitenganishe vipande vipande huo mwili wako ili uwe na nguvu zaidi.

Another stupid argument!

Umesoma biology wewe?

Eti vipande vipande!Halafu tissues zi-hold nini sasa?Ndio unafananisha na federation ya nchi?

Clueless!
 
Kama si fitna za Mwingireza alizowapa watanganyika ili kufanya mapinduzi zanzibar. Mapinduzi yale yalikua sio akili ya mwafrika wala mwafrika hawezi kufikia kiwango cha akili hizo za kuchukua nchi.
 
Another stupid argument!

Umesoma biology wewe?

Eti vipande vipande!Halafu tissues zi-hold nini sasa?Ndio unafananisha na federation ya nchi?

Clueless!
Hihihihi...😬😬, utengano si nguvu mzee baba...πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜ƒπŸ˜„, jitenganishe tu..,ili uwe mfano wa utengano..
 
Hihihihi...[emoji51][emoji51], utengano si nguvu mzee baba...[emoji23][emoji23][emoji2][emoji1], jitenganishe tu..,ili uwe mfano wa utengano..

Utengano ni nguvu za individuals,the best man wins!

Only mivivu inapenda umoja maana they get free ride!

Fvck’em!

Hutaki utengano andamana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…