FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
- Thread starter
-
- #281
Hujaridhuka tu kwa jinsi Zanzibar inavyoitumikisha Tanganyika kwa mgongo wa Tanzania?Zitumike mbinu za kidiplomasia, ikishindikana kwa ustaarabu basi liundwe zengwe na vikwapuliwe kwa nguvu, maana wanasema umoja ni nguvu, ni kama Zanzibar tu ikivyonyakuliwa. Nasema hivi maana kuna kitu cha ajabu sana nimekigundua baada ya kuencounter wacomorro kadha wa kadha katika mizunguko hasa ya Kariakoo.
Kiukweli hawa watu wanajiina ni waTanzania kamili kabisa, na wanataka haki zote sawana mTanzania mwingine yeyote yule. Yaani uFaransa anatoka alikotoka kisha anakuja uwani kwetu kumiliku kisiwa, huu ni upunguani wa wapi huu?
Tunaomba tupewe historia ya Commoro kwanza ili tujue tulikwama wapi?
Moja ya manufaa makubwa sana ambayo nimeyaona kwa integration tuliyoifanya na Zanzibar ni 'huge economic, social & political cooperation', fikiria ni kwa urahisi kiasi gani Tanesco imeweza kuuza umeme mwingi sana visiwani bila vikwazo vyovyote, fikiria namna wanafunzi wanapokuja kusoma vyuo vikuu vya bara na kupata mikopo minono ya Heslb bila hiyana wala vikwazo vyovyote vile, pia ona jinsi watu toka visiwani wanavyokuja kupata ajira na kufanya biashara bara bila usumbufu, fikiria jinsi bara tunavyoagiza maziwa toka Zanzibar bila shida yeyote ile, faida ni lukuki.
Lakini ninachokisikia kwa chini ya kapeti ni kwamba kisiwa kimoja wapo cha Comoros kinachomilikiwa na wazungu kinatumika vibaya kutunyonya na kututikisa, mfano eti kuna wakati walikuwa wananunua ng'ombe maelfu kwa maelfu, wanapelekwa hapo kisiwani, wanachakatwa kisha nyama kupelekwa paris, lakini kiutaratibu walipaswa watengeneze kiwanda cha kuchakata hizo nyama hapa nchini kisha zisafirishwe kwenda paris tokea hapa na mapato stahiki ya kodi ya baki hapa, huo ni mfani tu.
Kingine ni Tax evasion techniques kama zile zinazofanyika visiwa vya Seychelles, ni kwamba kampuni inacheza sarakasi kwa kutumia mamlaka za visiwa zilizopo karibu na nchi yako, hivyo wanakuja kufanya biashara kwako lakini base yake anaiweka uwani kwako ambapo huwezi kumfikia sababu ni mamlaka ya mtu mwingine, hii michezo ilitaka kufanyika kwa kuitumia Zanzibar hasa katika uagizaji wa sukari na spea za pikipiki, lakini kwakuwa tuna-control na Zenji ilikuwa ni rahisi kwetu kudhibiti hali hiyo.
===============================
===============================
Likes 58 tayari ππππͺNini kilikwamisha Comoro isiwe sehemu ya Tanzania?
Habar JF, Hope mpo, hapo mlipo salama. Mwanzoni mwa miaka ya 60s ndipo nchi nyingi zilianza au kujipatia uhuru, ikifuatiwa na miungano kadhaa ikiwemo muungano ulioleta Tanzania Miaka 10 baadae harakati nyingine za kuunganisha Tanzania na Comoro zilianzaa Tanzania + comoro =Tanzacom Tanzacom...www.jamiiforums.com
Hii ni balaaKama mna hamu sana ya Visiwa basi muombeni Mchina awatengenezee Artificial islands hapo kama alivyofanya yeye
Ila yeye ni kwa ajili ya kujihami kivita
Sisi tutaishia kuweka wavuvi tu, lakini haina shida mradi tuwaache nao na visiwa vyao
View attachment 2892197View attachment 2892198View attachment 2892199
Jamaa hao wanawaza miaka 100 mbeleHii ni balaa
Hivyo ni artificial islands?Kama mna hamu sana ya Visiwa basi muombeni Mchina awatengenezee Artificial islands hapo kama alivyofanya yeye
Ila yeye ni kwa ajili ya kujihami kivita
Sisi tutaishia kuweka wavuvi tu, lakini haina shida mradi tuwaache nao na visiwa vyao
View attachment 2892197View attachment 2892198View attachment 2892199
Huo ujinga hakuna tena, nimegundua hawa Zanzibar ni mzigo mkubwa sana baada ya mama kuingia madarakani, imagine hata umeme hawalipi..
Ndio mkuu alikuwa anachukuwa mchanga wa baharini na kujaza mpaka ikawa kisiwaHivyo ni artificial islands?
Basi Mchina si mwenzetu!
Mapato yote wanabaki nayo serikali ya Zanzibar , halafu huku tunaachwa na mgao wa umemeKwa hiyo tanesco ya Zanzibar wanakusanya mapato wanatumia wenyewe.
Kama vipi kwa nini tanesco isiwalipe commission tu ya usambazaji, lakin wao waendlee kuuza umeme huko kama bara.
Daah, inaumiza sanaZanzibar wametuteka sisi hatujawateka.
Maana haki zote za Bara ni zao lakini haki za Zanzibar ni zao peke yao
Hapoo unapopaita Tangayika, yote hiyo ilikuwa Zanzibar kabla ya ujio wa Mjerumani, kumbuka hilo.Zanzibar wametuteka sisi hatujawateka.
Maana haki zote za Bara ni zao lakini haki za Zanzibar ni zao peke yao
Madam naomba nikuulize kama hutojali!Hapoo unapopaita Tangayika, yote hiyo ilikuwa Zanzibar kabla ya ujio wa Mjerumani, kumbuka hilo.
Kwa maana hiyo, Zanzibar ndiyo waliotekwa ardhi yao kwa mabavu na Wajerumani. Kwa ushahidi rejea vita vya Bushiri, Mkwawa, Majimaji, Mirambo na vinginevyo.
Sijauona huo mgongano, mimi ni Mtangannyika.Madam naomba nikuulize kama hutojali!
Karibia kila Uzi niliouona ukichangia wenye mwelekeo wa mgongano wa kimaslahi kati ya Tanganyika na Zanzibar, mara zote umeonekana kuwa upande wa Zanzibar. Kulikoni hivyo? Wewe nawe ni Mzanzibar?
Nikisema umeandika uongo naweza nikakosea, sipo vizuri sana kwenye Historia. Ila ninavyokumbuka, kama nipo sahihi, Sultan wa Zanzibar alikuwa akitawala kama maili kumi hivi ya ardhi ya Tanganyika kutoka mwambao wa bahari ya Hindi. Kwa maana hiyo, mikoa ya sasa ya Dodoma, Singida, Morogoro, Kilimanjaro, Arusha, Kigoma, Kagera, Mwanza, Shinyanga, Tabora, n.k., haikuwa sehemu ya Zanzibar.Sijauona huo mgongano, mimi ni Mtangannyika.
Nilichokiandika kina mgongano upi au kipi siyo ukweli?
Aisee?!! Hapana Waislamu tena?!!! Zanzibar ndo hawa wanatutoa roho na Mudy wao, tuongeze Comoro tena?!!!! NO!Zitumike mbinu za kidiplomasia, ikishindikana kwa ustaarabu basi liundwe zengwe na vikwapuliwe kwa nguvu, maana wanasema umoja ni nguvu, ni kama Zanzibar tu ikivyonyakuliwa. Nasema hivi maana kuna kitu cha ajabu sana nimekigundua baada ya kuencounter wacomorro kadha wa kadha katika mizunguko hasa ya Kariakoo.
Kiukweli hawa watu wanajiina ni waTanzania kamili kabisa, na wanataka haki zote sawana mTanzania mwingine yeyote yule. Yaani uFaransa anatoka alikotoka kisha anakuja uwani kwetu kumiliku kisiwa, huu ni upunguani wa wapi huu?
Tunaomba tupewe historia ya Commoro kwanza ili tujue tulikwama wapi?
Moja ya manufaa makubwa sana ambayo nimeyaona kwa integration tuliyoifanya na Zanzibar ni 'huge economic, social & political cooperation', fikiria ni kwa urahisi kiasi gani Tanesco imeweza kuuza umeme mwingi sana visiwani bila vikwazo vyovyote, fikiria namna wanafunzi wanapokuja kusoma vyuo vikuu vya bara na kupata mikopo minono ya Heslb bila hiyana wala vikwazo vyovyote vile, pia ona jinsi watu toka visiwani wanavyokuja kupata ajira na kufanya biashara bara bila usumbufu, fikiria jinsi bara tunavyoagiza maziwa toka Zanzibar bila shida yeyote ile, faida ni lukuki.
Lakini ninachokisikia kwa chini ya kapeti ni kwamba kisiwa kimoja wapo cha Comoros kinachomilikiwa na wazungu kinatumika vibaya kutunyonya na kututikisa, mfano eti kuna wakati walikuwa wananunua ng'ombe maelfu kwa maelfu, wanapelekwa hapo kisiwani, wanachakatwa kisha nyama kupelekwa paris, lakini kiutaratibu walipaswa watengeneze kiwanda cha kuchakata hizo nyama hapa nchini kisha zisafirishwe kwenda paris tokea hapa na mapato stahiki ya kodi ya baki hapa, huo ni mfani tu.
Kingine ni Tax evasion techniques kama zile zinazofanyika visiwa vya Seychelles, ni kwamba kampuni inacheza sarakasi kwa kutumia mamlaka za visiwa zilizopo karibu na nchi yako, hivyo wanakuja kufanya biashara kwako lakini base yake anaiweka uwani kwako ambapo huwezi kumfikia sababu ni mamlaka ya mtu mwingine, hii michezo ilitaka kufanyika kwa kuitumia Zanzibar hasa katika uagizaji wa sukari na spea za pikipiki, lakini kwakuwa tuna-control na Zenji ilikuwa ni rahisi kwetu kudhibiti hali hiyo.
===============================
===============================
Likes 58 tayari ππππͺNini kilikwamisha Comoro isiwe sehemu ya Tanzania?
Habar JF, Hope mpo, hapo mlipo salama. Mwanzoni mwa miaka ya 60s ndipo nchi nyingi zilianza au kujipatia uhuru, ikifuatiwa na miungano kadhaa ikiwemo muungano ulioleta Tanzania Miaka 10 baadae harakati nyingine za kuunganisha Tanzania na Comoro zilianzaa Tanzania + comoro =Tanzacom Tanzacom...www.jamiiforums.com
Kwani Zanzibar watu wanaruhusiwa kujichukulia Sheria mkononi?Aisee?!! Hapana Waislamu tena?!!! Zanzibar ndo hawa wanatutoa roho na Mudy wao, tuongeze Comoro tena?!!!! NO!
Hiyo Zanzibar peke yake tunishindwa, tupate na Comoro?Zitumike mbinu za kidiplomasia, ikishindikana kwa ustaarabu basi liundwe zengwe na vikwapuliwe kwa nguvu, maana wanasema umoja ni nguvu, ni kama Zanzibar tu ikivyonyakuliwa. Nasema hivi maana kuna kitu cha ajabu sana nimekigundua baada ya kuencounter wacomorro kadha wa kadha katika mizunguko hasa ya Kariakoo.