Je, kuna uchawi wa bendera?

Je, kuna uchawi wa bendera?

Tuttyfruity

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2017
Posts
2,414
Reaction score
6,371
Mambo vipi wana Jf. Natumai wote mko poa.

Moja kwa moja kwenye mada. Kwenye pitapita zangu kama mnavonijua mimi ndugu yenu nimekutana na jambo moja geni sana kwenye masikio yangu.

Hivi mshawahi kusikia kuhusu uchawi wa kutumia bendera? Yani bendera hizi hizi mfano ya 🇹🇿 Mostly zinazotundikwa mashuleni etc?? Nasikia wanachukua kipande kidogo then wanakichoma mpaka majivu then unachanjwa alafu unapakwa yale majivu.
Jaman kama kuna mtu anajua kuhusu hili please tupeni more info.

Namalizia kwa kusema kama ilivyo muhimu kua na bodaboda wako au bajaji wako hapa mjini vivyo hivyo ni muhimu zaidi kua na mganga wako 😂

wsalaam.
 
😆😆😂😂 Ety tumejua na wewe unaamini katika kupigwa chale.
Utakutana na magwiji, wanakugalagaza tu na hizo chale zako. 😁
 
😆😆😂😂 Ety tumejua na wewe unaamini katika kupigwa chale.
Utakutana na magwiji, wanakugalagaza tu na hizo chale zako. 😁
Ni swali tu nimeuliza asee 😂
 
Back
Top Bottom