Je, kuna udhibiti wowote wa biashara za mtandaoni?

Je, kuna udhibiti wowote wa biashara za mtandaoni?

FKB

New Member
Joined
May 4, 2018
Posts
1
Reaction score
0
Habari wakuu,

Hivi kwenye biashara hizi za mitandaoni kama ulilipia fedha mfano nusu ya gharama alafu muuzaji hajakupatia hiyo bidhaa na hata pesa anasumbua kurudisha, ni hatua gani mnunuzi achukue? Je, kuna udhibiti wowote juu ya biashara hizi?

Kama mnunuzi anataka amuwajibishe huyu muuzaji wa mtandaoni anaanzia mamlaka gani? Mf. TCRA au wapi?

Naomba ushirikiano wenu wana JamiiForums.

Au sheria gani inatumika juu ya hali kama hii yenye elements za utapeli.
 
Biashara ya mtandaoni eBay au huo utoporo wa Kupatana au Instagram?

Anaelipia Instagram kabla hajaiona au ajapata bidhaa ni kichaa.
 
Aisee, Mimi mwenyewe kichaa,juzi nimepigwa 200,000 taslim,hapa naugulia rohoni.
 
Back
Top Bottom