Je, kuna ufahari gani ukaipata dunia nzima lakini ukaiangamiza nafsi yako!

Je, kuna ufahari gani ukaipata dunia nzima lakini ukaiangamiza nafsi yako!

katusyo

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2013
Posts
1,455
Reaction score
431
Maneno Haya Yalitamkwa Na Yesu Katika Kitabu Cha Luka 9, Kupitia Maneno Hayo Ninazungumza Na Dr Laa Je? Kuna Ufahali Gani Ukaupata Ulimwengu Huu Alafu Ukaiangamiza Nafsi Yako, Slaa Umeiangamiza Nafsi Yako Kwa Kuwasaliti Masikini Hawa, Umewasaliti, Wanyonge Hawa, Umewaliti Wagongwa Hawa, Umeusaliti Uma Wa Watanzania Kwa Vipande Selasini Vya Fedha, Kwa Kufanya Hivi Umeiangamiza Nafsi Yako Ili Tu Upate Ufahali Wa Dunia Hii, Na Kwa Kufanya Hivi Hakika Mungu Hatakuacha Utalaamiwa Wewe Na Vizazi Vyake Mpaka Pale Utakapotubu Kwa Machozi Na Mungu Akuepushie Laana Hii Kwani Itawapata Hata Wasio Na Makosa
 
Ni mawazo yako hakuna ufahali alio upata Dkt Slaa, ila Dkt naye ni maono yake akiwa naimani ya kuiweka huru nafsi yake.
 
Ni mawazo yako hakuna ufahali alio upata Dkt Slaa, ila Dkt naye ni maono yake akiwa naimani ya kuiweka huru nafsi yake.

Maandiko Yanasema Kila Atakae Kuiponya Nafsi Yake Ataiangazamiza Na Yule Aiangamizae Nafsi Yake Ataiponya, Bila Shaka Dr Slaa Anang'ang'ana Kuiponya Nafsi Yake Lakini Amini Nakuambia Anaiangamiza Nasfi Yake
 
Dr game the end, au jogu acaboo kwa kireno, wakimaanisha mchezo umeisha, watanzania si wajinga kama mnavyofikili, hiivi? ninani aliekuroga dr? dr msomi na mwenye uelewa na ufaham wa hali ya juu umegeuka kabisa umekuwa kama poyoyo asie na elim kabisa, umeshindwa vipi kusoma nyakati? heshma uliyoitafuta kwa mda mrefu hatimae umeipoteza kwa mda mfupi tu, inauma sana.
 
Back
Top Bottom