tutafikatu
JF-Expert Member
- Dec 17, 2011
- 3,327
- 4,624
Kwa kweli inashangaza sana kuona taasisi kama Tanesco zinaingia mikataba na hospitali binafsi halafu baadaye fomu za madai zikapitiwe na kampuni kama AAR. Kwanini wasijiunge kwenye taasisi ya kiserikali ambayo imejitpsheleza kabisa. Kuna kitu hapa.Mkuu umenena point ya msingi sana.Naomba ipate wachangıaji na wasomajı wa kutosha JPM hajajua.
Kwa kweli inashangaza sana kuona taasisi kama Tanesco zinaingia mikataba na hospitali binafsi halafu baadaye fomu za madai zikapitiwe na kampuni kama AAR. Kwanini wasijiunge kwenye taasisi ya kiserikali ambayo imejitpsheleza kabisa. Kuna kitu hapa.
Unashindanisha nini mkuu?Jamani Kuna utaratibu ndani ya sheria kupata mtoa Huduma kwa kushindanisha watoa Huduma huwezi kufanya single sourcing km Kuna watoa Huduma Sokoni. NHIF yawezekana haishiriki ktk hii michakato kwa kubweteka au haikidhi vigezo.