Je? Kuna uhalali wowote kisheria,kwa vikao vya bunge maalum la katiba kuendelea?

Je? Kuna uhalali wowote kisheria,kwa vikao vya bunge maalum la katiba kuendelea?

activisty

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2012
Posts
315
Reaction score
107
msaada juu ya hili, je kuna uhalali wa vikao vya bunge maalum la katiba kuendelea baada ya baadhi ya wajumbe kutoka? na kama kuna uhalali, sharia inasemaje kuhusu waliotoka? na kama hamna uhalali sharia inasemaje juu ya waliobaki. kwa sababu jambo hili linachanganya sana.
 
upo.soma Kanuni za BMLK.
 
Uhalali upo kwani quorum inatimia ISIPOKUWA, kadili ya utaratibu, hivi vifungu (1&6) vilipaswa kujadiliwa kwa siku TATU tu na kisha vifanyiwe maamuzi. Na kosa lililofanyika liko hapa sasa, naona CCM wameongeza muda wa kuvijadili, matokeo yake wameishia kwenye taarabu tu.

Inaonekana lengo lao hasa ni KUBUY time ili wajipange namna ya kucheza na sheria ya mabadiliko ya katiba kwani "ILI KIFUNGU KIPITE, KITAPASWA KUUNGWA MKONO NA 2/3 YA WAJUMBE WA BMLK TOKA TANGANYIKA NA 2/3 YA WAJUMBE TOKA ZANZIBAR"

Hili haliwezekani kwa sasa hasa baada ya UKAWA kususia bunge ili mkutano huu mkuu wa CCM uendelee kutunga katiba. Watakachofanya ni kuleta HATI YA DHARULA mwishoni mwa bunge la budget litakaoanza muda si mrefu! ili wabadili na kuruhusu WINGI WOWOTE KUPITISHA KIFUNGU.

All in all, UNAHITAJI KUWA NA AKILI ZILIZOKUFA ILI UWE MWANACCM!
 
Ni kupoteza mda tu. Hakuna sababu za msingi au za ki mazingira za kuruhusu mjadala huo uendelee wakati cccm tayari walishafanya maamuzi yao. Waacheni wapitishe katiba yao, ila wajue kuwa haitadumu. Period
 
Back
Top Bottom