Uhalali upo kwani quorum inatimia ISIPOKUWA, kadili ya utaratibu, hivi vifungu (1&6) vilipaswa kujadiliwa kwa siku TATU tu na kisha vifanyiwe maamuzi. Na kosa lililofanyika liko hapa sasa, naona CCM wameongeza muda wa kuvijadili, matokeo yake wameishia kwenye taarabu tu.
Inaonekana lengo lao hasa ni KUBUY time ili wajipange namna ya kucheza na sheria ya mabadiliko ya katiba kwani "ILI KIFUNGU KIPITE, KITAPASWA KUUNGWA MKONO NA 2/3 YA WAJUMBE WA BMLK TOKA TANGANYIKA NA 2/3 YA WAJUMBE TOKA ZANZIBAR"
Hili haliwezekani kwa sasa hasa baada ya UKAWA kususia bunge ili mkutano huu mkuu wa CCM uendelee kutunga katiba. Watakachofanya ni kuleta HATI YA DHARULA mwishoni mwa bunge la budget litakaoanza muda si mrefu! ili wabadili na kuruhusu WINGI WOWOTE KUPITISHA KIFUNGU.
All in all, UNAHITAJI KUWA NA AKILI ZILIZOKUFA ILI UWE MWANACCM!