Je kuna uhusiano gani kati ya unene na kulala lala hovyo?

Kichwa Ndio Mtu

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2014
Posts
3,079
Reaction score
1,711
Habari.

Sina lengo la kukejeli maumbile ya watu ila ningependa kujua,je kuna uhusiano gani kati ya unene na usingizi.
Ukiangalia watu wanene wanapenda sana kulala lala,iwe kwenye daladala au gari binafsi iwe ofisini au mahala popote huwa wanalala.

Je kuna uhusiano wowote kati ya usingizi na umene.
 
Sometimes yes,sometimes no.kuna uwezekano kulala kukawa kuna uhusiano na kua bonge/mnene.ila sio kwa wote.
Mi niko slim ila nalala vbaya mno.na hakuna unene.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…