Je kuna uhusiano kati ya ukubwa wa kishogo na uwezo wa akili?

Je kuna uhusiano kati ya ukubwa wa kishogo na uwezo wa akili?

Kimbori

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2012
Posts
6,112
Reaction score
4,540
Leo katika kijiwe kulikuwa na mjadala ya kwamba, ukubwa wa kishogo (kisogo) unasaidia kutambua uwezo wa akili aliyinayo mtu, hususani mtoto.
Moja ya wadau walidai ya kwamba, hata watoto wengi wenye mtindio wa ubongo (kutokana na kuzaliwa) hawana kishogo, yaani, hakuna tofauti kati ya shingo na kichwa. Je kuna ukweli wowote?
 
its not a guarantee,mi nakumbuka nikiwa nasoma primary,wenye vichogo virefu ndo walikuwa wakorofi na watundu zaidi....angalia mifano hai,,,,,,joti,pembe,kipepe.....
 
Sounds like true! Magufuli? Tibaijuka? Mwandosya?!
 
kuna mwanafunzi alikua ana uchogo ka ngogwe lakini akili ni zero
 
Akili inayozungumziwa hapa si kuwa "genius" bali uwezo wa kufikiri na kuamua mambo ya kawaida. Ile hali ya kutokuwa punguani
 
Na wale wanaoitwa ma"chogo? na Waunguja ni kina nani?
 
Back
Top Bottom