Leo katika kijiwe kulikuwa na mjadala ya kwamba, ukubwa wa kishogo (kisogo) unasaidia kutambua uwezo wa akili aliyinayo mtu, hususani mtoto.
Moja ya wadau walidai ya kwamba, hata watoto wengi wenye mtindio wa ubongo (kutokana na kuzaliwa) hawana kishogo, yaani, hakuna tofauti kati ya shingo na kichwa. Je kuna ukweli wowote?
its not a guarantee,mi nakumbuka nikiwa nasoma primary,wenye vichogo virefu ndo walikuwa wakorofi na watundu zaidi....angalia mifano hai,,,,,,joti,pembe,kipepe.....