Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
Mkabila sana huyo na mdini mno hafai kabisa katika uongozi tatizo kubwa ni ushamba na hajiamini kuzaa ovyo Kama bataMzee pasco
hapa umevuruga kabisa...
Inakuwa vigumu kupati teuzi..
Umeacha nyayo tatanishi nyingi kwenye mitandao...
Acha mihemko....
Ondokana na chembe za mada za kujadili ukabila na dini. Karne hii unaongelea vikabila.Wanabodi,
Hii ni thread ya swali tuu, sio thread ya udini au ukabila.
Maswali haya ni kufuatia Mkuu wetu wa Majeshi wa sasa kufanya kazi nzuri iliyotukuka Jeshini kuliko wakuu wengine wote wa majeshi waliotangulia, ukiondoa wakuu wa jeshi walioongoza vita vya Kagera Tanzania tukashinda inawezekana huu uchapa kazi wa Mkuu wa sasa wa Jeshi letu unatokana na kutoka katika kabila la wachapakazi?.
- Jee kuna uhusiano wowote kati ya dini/kabila la mtu na ukakamavu ndani ya majeshi yetu nchini Tanzania.?.
- Jee kuna uhusiano wowote wa kati ya kabila la mtu na ukakamavu wa majeshini?.
- Jee watu wa dini fulani au makabila fulani ni wazuri zaidi jeshini kuliko watu wa dini zingine au makabila mengine?.
Katika kuwadurufu wakuu wetu wa majeshi waliotangulia, kuna kitu very strange nimeki observers na kukinote...
Wakuu hawa ni
Majenerali karibu wote majina yao yana kiashiria ni majina ya dini fulani au ni watu wa dini fulani!. Kati ya majenerali hao wote 8, majenerali 7 wana majina ya Kikristo isipokuwa Jenerali mmoja tuu, Generali Abdalah Twalipo ndio mwenye jina la mwanzo la Kiislamu. Tena huyu Generali Twalipo, nilisoma darasa moja na binti yake akiitwa Flora Twalipo ambapo jina la Flora pia ni jina la kishiria cha dini ya Kikristo, usikute hata jina la Abdallah ni jina tuu, na hayo ni majina mengine yote ni majina tuu na haya uhusiano wowote na dini zao kama jina la Abdalah kwenye Anna Abdallah ni jina tuu la Kiislamu lakini mwenyewe ni Mkristo, au Jaji Ramadhani ni jina tuu la Kiislamu lakini mwenyewe ni Mkiristo au Rose Migiro ni jina tuu la Kikristu lakini mwenyewe ni Muislamu?.
- Jenerali Mirisho Sarakikya,
- Jenerali Abdalah Twalipo,
- Jenerali David Musuguri,
- Jenerali Ernest Mwita Kiaro,
- Jenerali Robert Mboma,
- Jenerali George Waitara,
- Jenerali Davis Mwamunyange,
- Na mkuu wa sasa wa majeshi yetu Jenerali Venance Mabeyo.
Swali ni kwa muktadha wa nchi yetu Tanzania, ni secular state, haina dini, sasa kwanini majenerali karibu wote ni watu wa dini moja?. Je kuna uwezekano watu wa dini fulani ndio wazuri zaidi na wakakamavu zaidi jeshini kuliko watu wa dini nyingine ndio maana huko majeshini wengi huko majeshini ni watu wa dini fulani?, na ni kufuatia ukakamavu huo, hivyo ni watu wa dini hiyo ndio pekee kufikia kuwa majenerali?.
Kama jeshini tuna watu wa dini zote, na wote wana ukakamavu sawa, inamaana wanaopanda kufikia majenerali wangekuwa watu wa dini zote, lakini hali halisi ya wanao panda hadi kufikia top rank ya majenerali, kwa nini wengi wawe wa dini fulani hiyo hiyo?, kwani hao wa dini nyingine kwa nini hawawi majenerali?
Jee kuna uwezekano hao wanajeshi wa vyeo vya juu kutoka dini zote wapo lakini hawana sifa za ujenerali?. Au pia kuna uwezekano hao wanajeshi wa vyeo vya juu kutoka dini nyingine wapo na wanasifa zote za kuwa majenerali ila wanabaguliwa tuu kutokana na dini zao hivyo majenerali wengi kuwa watu wa dini moja?.
Na kwenye hii sampling ya majenerali wetu 8, tukija kwenye sampling ya wanatoka makabila gani, jee pia kuna uwezekano kuna makabila wachapakazi wanaoweza mitulinga ya Jeshini, na makabila mengine sio makabila ya watu wa kazi za mitulinga hivyo kwao kazi za Jeshini ni kituo cha polisi?.
Kwa nini watu wa makabila fulani fulani yuu ndio wajazane majeshini na kupata vyeo hadi kuwa majenerali? na wanajeshi wa makabila mengine wasiwe?.
Tanzania ni nchi moja ya Jamhuri ya Muungano yenye sehemu mbili, Tanzania Bara na Tanzania Visiwani, sasa iweje Majenerali wote 8 ni watu wa kutoka upande mmoja tuu wa muungano, ina maana hakuna watu kutoka upande ule wa muungano wetu wenye sifa za kupanda hadi kuwa majenerali?. Yaani majenerali wote ni wa makabila ya bara tuu, yaani watu wa Pwani na visiwani hawawezi kupanda na kuwa majenerali?. NB. Hapa nazungumzia Jeshi, JWTZ na sio Polisi, kule polisi kuna ubaguzi wa urefu, watu wa makabila ya wafupi walikuwa hawaajiriwi polisi zamani.
Nauliza hivi makusudi ili baadae huko mbele ya safari, tusije kulaumiana, kati ya majenerali wote 8 wa jeshi letu, tangu tumepata uhuru, kuna majenerali watatu, sio tuu waliotoka mkoa mmoja, bali ni watu wa kabila moja!. Tanzania tuna makabila zaidi ya 120, kwanini majenerali watatu wajirudie kabila moja?.
Kwa vile majenerali kuteuliwa na CinC, sasa ikitokea CinC ni mtu wa kabila fulani mfano mimi ndio nikibahatika kuwa CinC wa majeshi yetu, nami nikanote hakujawahi kutokea generalI wa kabila langu, jee kuna ubaya wowote nikafanya kiji affirmative action nikatafuta angalau kagenerali kamoja ka kabila langu?, hata kama rank ya huyo mtu wa kabila langu ilikuwa bado ni rank ya chini, kufikia kuwa generalI, nikamuongezea muda kidogo wa kustaafu jenerali aliyepo ambaye muda wake umekwisha, kisha nikampandisha vyeo chap chap jererali wa kabila langu, ili angalau na makabila mengine yatoe majenerali?.
Na baada ya kumpata jenerali wa kabila langu, kiukweli kabisa hakuniangusha, amepiga mtulinga haswa na kufuatia good track record ya utekelezaji wake wa mambo makubwa, je kuna ubaya wowote ikiamuliwa kuanzia sasa, tuwe tunawajaribisha watu wa dini zote kwenye ujenerali na watu wa makabila yote kwenye ujenerali, ili kuupima uchapaji kazi wao, tukiisha jiridhisha kuna makabila ni wachapa kazi, then tunaamua kuanzia sasa, majenerali wote wa jeshi letu ni lazima wawe kutoka makabila fulani tuu ya wachapa kazi, angalau hata wafikie wawili, watatu kama lile kabila jingine, ndipo tuanze affirmative action jeshini kwa kuwajengea uwezo kwa kuwapandisha vyeo chap chap watu wa dini nyingine ambao hawajapata majenerali wa kutosha na kuwajaribisha watu wa makabila mengine kwenye vyeo vya juu, ili Jeshi letu la Wananchi wa Tanzania, liwe ni jeshi la wananchi wote wa Tanzania, na wa dini zote na makabila yote kuweza kuwa majenerali?.
Nawatakia Jumapili njema ya matawi.
P
Wewe acha udini na ukabila Paskali. Hakuna relation yoyote ila naona ninyi wasukuma mlianza kuleta ukabila, mshindwe kabisa.Wanabodi,

Acha kutukana watuMkabila sana huyo na mdini mno hafai kabisa katika uongozi tatizo kubwa ni ushamba na hajiamini kuzaa ovyo Kama bata
Sijaingiza, bali nimeuliza!. Nimesema kwa vile tangu JWTZ imeundwa imewahi kupata CDF mmoja tuu wa pande zile, swali likawa jee hatuna watu wa pande zile wa kutosha hata tuwe na uwiano wa 1/8?!.Mambo ya kuingiza udini,ukabila,rangi,vyeti jeshini achana nayo.Patachafuka hapa kwa kundi litakalo ona kwamba linaonewa Tanzania haitakua sehemu salama Tena ya kuishi sijui wewe utahamia Burundi.
Mbona umeshasema kwamba yawezekana ni majina tu lakini dini zao zisiwe na uhusiano na majina yao? Lkn cha ajabu mwisho ukahitimisha kwa kufanya conclusion ya kuwa na uhakika kuwa wote ni wakristo?Wanabodi,
Hii ni thread ya swali tuu, sio thread ya udini au ukabila.
Maswali haya ni kufuatia Mkuu wetu wa Majeshi wa sasa kufanya kazi nzuri iliyotukuka Jeshini kuliko wakuu wengine wote wa majeshi waliotangulia, ukiondoa wakuu wa jeshi walioongoza vita vya Kagera Tanzania tukashinda inawezekana huu uchapa kazi wa Mkuu wa sasa wa Jeshi letu unatokana na kutoka katika kabila la wachapakazi?.
- Jee kuna uhusiano wowote kati ya dini/kabila la mtu na ukakamavu ndani ya majeshi yetu nchini Tanzania.?.
- Jee kuna uhusiano wowote wa kati ya kabila la mtu na ukakamavu wa majeshini?.
- Jee watu wa dini fulani au makabila fulani ni wazuri zaidi jeshini kuliko watu wa dini zingine au makabila mengine?.
Katika kuwadurufu wakuu wetu wa majeshi waliotangulia, kuna kitu very strange nimeki observers na kukinote...
Wakuu hawa ni
Majenerali karibu wote majina yao yana kiashiria ni majina ya dini fulani au ni watu wa dini fulani!. Kati ya majenerali hao wote 8, majenerali 7 wana majina ya Kikristo isipokuwa Jenerali mmoja tuu, Generali Abdalah Twalipo ndio mwenye jina la mwanzo la Kiislamu. Tena huyu Generali Twalipo, nilisoma darasa moja na binti yake akiitwa Flora Twalipo ambapo jina la Flora pia ni jina la kishiria cha dini ya Kikristo, usikute hata jina la Abdallah ni jina tuu, na hayo ni majina mengine yote ni majina tuu na haya uhusiano wowote na dini zao kama jina la Abdalah kwenye Anna Abdallah ni jina tuu la Kiislamu lakini mwenyewe ni Mkristo, au Jaji Ramadhani ni jina tuu la Kiislamu lakini mwenyewe ni Mkiristo au Rose Migiro ni jina tuu la Kikristu lakini mwenyewe ni Muislamu?.
- Jenerali Mirisho Sarakikya,
- Jenerali Abdalah Twalipo,
- Jenerali David Musuguri,
- Jenerali Ernest Mwita Kiaro,
- Jenerali Robert Mboma,
- Jenerali George Waitara,
- Jenerali Davis Mwamunyange,
- Na mkuu wa sasa wa majeshi yetu Jenerali Venance Mabeyo.
Swali ni kwa muktadha wa nchi yetu Tanzania, ni secular state, haina dini, sasa kwanini majenerali karibu wote ni watu wa dini moja?. Je kuna uwezekano watu wa dini fulani ndio wazuri zaidi na wakakamavu zaidi jeshini kuliko watu wa dini nyingine ndio maana huko majeshini wengi huko majeshini ni watu wa dini fulani?, na ni kufuatia ukakamavu huo, hivyo ni watu wa dini hiyo ndio pekee kufikia kuwa majenerali?.
Kama jeshini tuna watu wa dini zote, na wote wana ukakamavu sawa, inamaana wanaopanda kufikia majenerali wangekuwa watu wa dini zote, lakini hali halisi ya wanao panda hadi kufikia top rank ya majenerali, kwa nini wengi wawe wa dini fulani hiyo hiyo?, kwani hao wa dini nyingine kwa nini hawawi majenerali?
Jee kuna uwezekano hao wanajeshi wa vyeo vya juu kutoka dini zote wapo lakini hawana sifa za ujenerali?. Au pia kuna uwezekano hao wanajeshi wa vyeo vya juu kutoka dini nyingine wapo na wanasifa zote za kuwa majenerali ila wanabaguliwa tuu kutokana na dini zao hivyo majenerali wengi kuwa watu wa dini moja?.
Na kwenye hii sampling ya majenerali wetu 8, tukija kwenye sampling ya wanatoka makabila gani, jee pia kuna uwezekano kuna makabila wachapakazi wanaoweza mitulinga ya Jeshini, na makabila mengine sio makabila ya watu wa kazi za mitulinga hivyo kwao kazi za Jeshini ni kituo cha polisi?.
Kwa nini watu wa makabila fulani fulani yuu ndio wajazane majeshini na kupata vyeo hadi kuwa majenerali? na wanajeshi wa makabila mengine wasiwe?.
Tanzania ni nchi moja ya Jamhuri ya Muungano yenye sehemu mbili, Tanzania Bara na Tanzania Visiwani, sasa iweje Majenerali wote 8 ni watu wa kutoka upande mmoja tuu wa muungano, ina maana hakuna watu kutoka upande ule wa muungano wetu wenye sifa za kupanda hadi kuwa majenerali?. Yaani majenerali wote ni wa makabila ya bara tuu, yaani watu wa Pwani na visiwani hawawezi kupanda na kuwa majenerali?. NB. Hapa nazungumzia Jeshi, JWTZ na sio Polisi, kule polisi kuna ubaguzi wa urefu, watu wa makabila ya wafupi walikuwa hawaajiriwi polisi zamani.
Nauliza hivi makusudi ili baadae huko mbele ya safari, tusije kulaumiana, kati ya majenerali wote 8 wa jeshi letu, tangu tumepata uhuru, kuna majenerali watatu, sio tuu waliotoka mkoa mmoja, bali ni watu wa kabila moja!. Tanzania tuna makabila zaidi ya 120, kwanini majenerali watatu wajirudie kabila moja?.
Kwa vile majenerali kuteuliwa na CinC, sasa ikitokea CinC ni mtu wa kabila fulani mfano mimi ndio nikibahatika kuwa CinC wa majeshi yetu, nami nikanote hakujawahi kutokea generalI wa kabila langu, jee kuna ubaya wowote nikafanya kiji affirmative action nikatafuta angalau kagenerali kamoja ka kabila langu?, hata kama rank ya huyo mtu wa kabila langu ilikuwa bado ni rank ya chini, kufikia kuwa generalI, nikamuongezea muda kidogo wa kustaafu jenerali aliyepo ambaye muda wake umekwisha, kisha nikampandisha vyeo chap chap jererali wa kabila langu, ili angalau na makabila mengine yatoe majenerali?.
Na baada ya kumpata jenerali wa kabila langu, kiukweli kabisa hakuniangusha, amepiga mtulinga haswa na kufuatia good track record ya utekelezaji wake wa mambo makubwa, je kuna ubaya wowote ikiamuliwa kuanzia sasa, tuwe tunawajaribisha watu wa dini zote kwenye ujenerali na watu wa makabila yote kwenye ujenerali, ili kuupima uchapaji kazi wao, tukiisha jiridhisha kuna makabila ni wachapa kazi, then tunaamua kuanzia sasa, majenerali wote wa jeshi letu ni lazima wawe kutoka makabila fulani tuu ya wachapa kazi, angalau hata wafikie wawili, watatu kama lile kabila jingine, ndipo tuanze affirmative action jeshini kwa kuwajengea uwezo kwa kuwapandisha vyeo chap chap watu wa dini nyingine ambao hawajapata majenerali wa kutosha na kuwajaribisha watu wa makabila mengine kwenye vyeo vya juu, ili Jeshi letu la Wananchi wa Tanzania, liwe ni jeshi la wananchi wote wa Tanzania, na wa dini zote na makabila yote kuweza kuwa majenerali?.
Nawatakia Jumapili njema ya matawi.
P
Mkuu ACHIKOYO , kwanza kabisa, kwa mujibu wa mila na desturi za Kiafrika, kwa Mila zote na makabila yote, mtoto ni mtoto, hakuna mtoto wa nje na mtoto wa ndani, wote ni watoto!.Mbona umeshasema kwamba yawezekana ni majina tu lakini dini zao zisiwe na uhusiano na majina yao? Lkn cha ajabu mwisho ukahitimisha kwa kufanya conclusion ya kuwa na uhakika kuwa wote ni wakristo?
Hivi kwanini haukuhisi hata huyo Flora labda alikuwa mtoto wa nje wa Abdallah? Au na Anna Abdallah kuwa ni mtoto wa nje wa Abdallah.
Lkn kwa mtu kama ambae nakujua vema Paskali kupitia mabandiko yako, nafahamu kabisa kuwa unajua kuwa General Mabeyo soon ataachia ngazi kwa mujibu wa sheria, hivyo basi unahisi kuwa anaweza fuata General ambae sio muumini wa kanisa kama alivyo General Mabeyo. Unaanza kulialia Pasikali kutoka wasiwasi tu.
Najibu kwenye para # 1. Baadhi ya maeneo hasa kwa upande wa makabila mtoto akizaliwa nje ya ndoa baba ana nafasi ndogo sana hata ya kutoa jina la mtoto wake, kwa kawaida hata ulezi wa mtoto aliezaliwa nje ya ndoa unabizi zaidi kwa mama ukilinganisha na upande wa baba, hiyo ndio sababu mkuu Paskali.Mkuu ACHIKOYO , kwanza kabisa, kwa mujibu wa mila na desturi za Kiafrika, kwa Mila zote na makabila yote, mtoto ni mtoto, hakuna mtoto wa nje na mtoto wa ndani, wote ni watoto!.
Pili sio busara na sio ustaarabu kumhisi mtoto yoyote kuwa ni mtoto wa nje kutokana na kuchanganya majina ya Kikristu na Kiislamu kama Asha Rose, Anna Abdalah, Agustino Ramadhan , Agustino Saidi etc.
Na mwisho ni kweli CDF Mabeyo anastaafu soon, kama wa pande zile pia wapo wenye sifa na vingezo, wapewe. Kama hakuna, then tuendelee na utaratibu wa kawaida, watu wale wale, toka pande zile zile na kazi iendelee.
P
Aachane ukabila na udini mty hataru sana akipewa uongozi then mtu mkubwa ila kila siku nyuzi zake kuhusu ukabili mara udiniAcha kutukana watu
Jamaa kazidi na wengi wanamuogopa humu ndani sijui anawapa kula kama uzee apeleke huko kwao tabia za udini na ukabila amazidi mnoWewe acha udini na ukabila Paskali. Hakuna relation yoyote ila naona ninyi wasukuma mlianza kuleta ukabila, mshindwe kabisa.
Mkuu ACHIKOYO , this is one of the greatest injustices inayoletwa na dini na ndoa za kiserikali, mtoto ni mtoto, an innocent victim, asibaguliwe ndio maana kwenye mila zetu kuna baadhi ya mambo mazuri, mtoto ni mtoto tuu, hakuna mtoto wa ndani wala wa nje, na mtoto yoyote akizaliwa na mkeo, haijalishi alipajikwa na nani, ni mtoto wa mwenye mke!.Najibu kwenye para # 1. Baadhi ya maeneo hasa kwa upande wa makabila mtoto akizaliwa nje ya ndoa baba ana nafasi ndogo sana hata ya kutoa jina la mtoto wake, kwa kawaida hata ulezi wa mtoto aliezaliwa nje ya ndoa unabizi zaidi kwa mama ukilinganisha na upande wa baba, hiyo ndio sababu mkuu Paskali.
Afadhali... kwenye uteuzi wa CDF mpya, hoja za bandiko hili Je, Kuna Uhusiano wa Dini, Kabila na Ukakamavu?. Watu wa Dini, Kabila fulani, ni wazuri zaidi jeshini kuliko dini, kabila nyingine?Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Venance Salvatory Mabeyo leo amefika Ikulu ya Zanzibar kwaajili ya kumuaga Rais wa Zanzibar Hussein Mwinyi ikiwa ni maandalizi ya kustaafu mwishoni mwa mwezi huu.
Jenerali Mabeyo 65, amelitumikia jeshi kwa miaka 42 sasa na muda wake wa utumishi unaenda ukingoni mwezi huu.
Jenerali Mabeyo amehudumu nafasi ya Mkuu wa Majeshi kwa miaka 6 sasa baada ya kuteuliwa mwaka 2016 na aliyekuwa Rais wa awamu ya tano, hayati John Pombe Magufuli.
Katika uongozi wake kama CDF, alishuhudia kukabidhiwa kwa madaraka kwa Rais wa kwanza mwanamke, Samia Suluhu Hassan baada ya kifo cha mtangulizi wake.
Daima utumishi wake uliotukuka utaendelea kukumbukwa ndani ya JWTZ na Nchi kwa ujumla. Nikutakie maandalizi mema ya kustaafu Jenerali Mabeyo
Wanajeshi wote sawa wakishafuzu mafunzo. Ukabila ni ujinga na dini ni upumbavu mkubwani sawa na waha uwapeleke jeshin. ndo mana jeshi cku hiz hayapo kama zaman
[emoji375][emoji375]
Hebu jaribu kulinganisha kati ya mzaramo na mkulya nani ana akili na anafaa zaidi kwenye strategic war reconnaissance?Hebu jaribu tu kulinganisha kati ya mzaramo na mkulya nani anafaa zaidi vitani
Hata ukiangalia kwa jicho la tatu viongozi wa juu sana wa nchi, wenye majina Kama hayo ndo wanaleta Sana maendeleo ya nchi tofauti na hapo ni watu wa kupenda misaada kila kukicha. Yuko radhi atoe rasilimali za billion moja akamwombe msaada Tena huyo mtu laki moja amupe msaada, we chunguza tu, tulikotoka na tunakoenda.Wanabodi,