Je, Kuna Uhusiano wa Dini, Kabila na Ukakamavu? Watu wa Dini, Kabila fulani, ni wazuri zaidi jeshini kuliko dini, kabila nyingine?

Wanawake wanaweza sana. Tuna Rais Mwanamke, Waziri wa Ulinzi Mwanamke, Waziri wa Utalii Mwanamke, Kamishna wa Uhamiaji Mwanamke!

Hizi ni nafasi nyeti katika kuisukuma nchi.

Ni wakati sasa wa kuwa na CDF Mwanamke baada ya Venance Mabeyo.
Kwanza naunga mkono hoja, the first female kufikia the highest ranking military officer ndani ya jeshi letu ni two star general, alikuwa ni Maj. Gen. Zawadi Madawili, ili mtu awe CDF, lazima kwanza apande vyeo kwenye logical progression hadi amefikia rank ya a 3 Star general, Lt. Gen, ndio awe CDF. Kwa sasa ndani ya Jeshi Letu, hakuna mwanamke yoyote ndani ya jeshi letu amewahi kufikia ngazi hiyo hivyo hakuna uwekano wowote wa Mabeyo kurithiwa na Mwanamke, tena na Kwa sasa sina hata uhakika if we have hata a 1 star general mwanamke!.
Huko nyuma niliwahi kutoa hoja hii Je, Kuna Uhusiano wa Dini, Kabila na Ukakamavu?. Watu wa Dini, Kabila fulani, ni wazuri zaidi jeshini kuliko dini, kabila nyingine?
Hoja yangu hii kuhusu CDF still stands na huu sasa ndio wakati muafaka ikazingatiwa.

P
 
Mambo hutokea ama by chance or by accident. Yanayotokea by chance yanatokana na factors za kihistoria mainly strugle for survival. Yanayotokea by accident ni machache na hayana uhusiano na strugle ya mtu.
Historical factors shape the nature of humankind. The outcomes of interaction among social beings result from their historical backgrounds.
Therefore, kuna uhusiano wa yote haya mfano imani ya mtu inaweza kumpelekea kuamua aina ya maisha... Utamaduni wa mtu pia humjengea tabia fulani ambayo huwainluence wengine kufanya maamuzi juu yao, mfano uteizi...
 
Angalia hiyo clip hapo wapo.
 
Mkuu unamjua mkuu wa logistics wa JWTZ kwa sasa ni jinsia gani na ana rank gani...?
 
Huu uzi umemnanga sana Mabeyo na Jiwe jinsi walivyobebana kwa kigezo cha Usukuma
 
Huu uzi umemnanga sana Mabeyo na Jiwe jinsi walivyobebana kwa kigezo cha Usukuma
Mnajulikana adui yenu ni usukuma! Mkisikia mtu ni msukuma kashakuwa adui yenu! Hata Magufuli wengi wenu mnamchukia kwa kuwa hamtaki kuona msukuma ana cheo! Lakini niwajuze tu hakuna namba ya kuwazuia wasukuma kuwa katika serkali na sekta zote nyeti! Saizi kila sehemu yenye fedha wapo na vyuoni huko wapo wa kutosha!
 
Kunywa maji kwanza
 
Uteuzi mzuri wenye dalili za kuijibu hii hoja, Je, Kuna Uhusiano wa Dini, Kabila na Ukakamavu?. Watu wa Dini, Kabila fulani, ni wazuri zaidi jeshini kuliko dini, kabila nyingine? Tangu kuanzishwa kwake JWTZ mwaka 1964, baada ya Luteni Generali mmoja tuu mwenye jina la Abdalah, ambaye alikuja kuwa CDF, leo ndio Luteni Generali wa mwingine mwenye jina la Salumu ameteuliwa, akiwa ndie Mzanzibari wa kwanza kufikia cheo hicho, na hivyo kuweka a possibility ya Tanzania kuja kupata CDF kutoka upande wa pili wa Muungano in future.
NB. Naomba kuweka caveats ya kutuhumiwa mbaguzi, makabila na mdini, amini usiamini my concern were bonafide genuine kuuliza mbona ma CDF wote ni kutoka upande mmoja na dini moja?. Unaweza kukuta no one noticed anything mpaka baada ya concern, ndio watu wakajiuliza, hivyo ikabidi kaji affirmative action kafanyike kumuondoa Luteni Generali aliyefuata kwenye normal progression ya kuja kuwa CDF, ili to create a room ya mtu wa kwanza wa upande wa pili naye aweze kuwa Luteni Generali!. Na kwa faida ya wanajukwa hili Pasco Mayalla kabla ya kuwa mtangazaji wa RTD, alipitia JKT Makotupora na MMJKT, kisha akajiunga straight na JWTZ Airwing na kuajiriwa with MT. Number, na sasa ni askari wa akiba, ikitangazwa vita sisi ndio tunatangulizwa mbele ili tuwe chambo.
P
 
Ushauri wa bandiko hili umesaidia sana kwenye hili

Hayo mambo yaliletwa na uwoga wa Nyerere baada ya kupinduliwa na jeshi mwaka 1964 na kurudishwa madarakani na Uingereza. Baadaye alijaza watu loyalists jeshini ingawa wengine walikuwa ni wakabila kabisa kama Musuguri. Ukisoma historia utaona ujasiri na ukakamavu uko makabila mengi tuu.
 
Smh! akili ya kuwa atakuwa mkurya inatutesa sana lakini tumeumia mno CDF wa 10, 11 au 12 atakuwa Mtu wa Mara, hongereni Morogoro.
 
Dawa yao kwenda kupigana somalia wooote watatema ngazi!
 
Jina la mtu ndio dini ya mtu, tokea lini?
 
Ndiyo maana jeshi likawa linatumiwa na CCM kwenye chaguzi kuiba kura
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…