Minderthinker
New Member
- Dec 7, 2024
- 4
- 1
Kuna mdau mmoja hapa ameniuliza swali, nami nikaona niwashilikishe wana JF.
"Je mapenzi/upendo yanaifadhiwa moyoni au ubongoni/akilini"
Upi mtazamo wako?
"Je mapenzi/upendo yanaifadhiwa moyoni au ubongoni/akilini"
Upi mtazamo wako?