Habari zenu Jf Drs na wengineo,
Naombeni mnijuze kwa undani zaidi,ni kweli kwamba njia ya uzazi wa mpango IUD(copper) inaweza sababisha mtu kua na maumivu ya mifupa/synovits/rheumatism/back back pain na joints zote kw mwili mzima?na kama ni kweli nini kifanyike au ni dawa gani mwanamke anayepata hayo maumivu atumie?
Naomba nisiwachoshe sana
Karibuni
hayo matatizo yote unayo? maana ni mengi.
IUD inaweza kupelekea back pain (as a side effect), ila hayo mengine hapana.
sasa ni nini hasa kinakusumbua? wakati huo huo anza na vipimo vidogovidogo kwanza, cheki malaria na Typhoid