inspectorbenja
JF-Expert Member
- Oct 14, 2012
- 597
- 651
Ni kweli hapo kuna issue ya ABS sensor nimewah pata shida kama hiyo kwenye ractis na belta na sijui kwa nini huwa zinakufa sana na kuna mafundi wanadai ukizembea kuweka sensor zingine then shida ya gia kuingia itaanzaWadau habari zenu,najua humu kuna watu wabobevu sana wa masuala ya magari.Nina gari yangu Toyota Vitz Old Model.Ghafla tu speed meter na km haziomi kwenye dash board,km zipo zile zile na speed ni zero.Dash board ni ya digital.Nimeenda kwa mafundi umeme wa magari wawili tofauti.Kila mmoja naona amejaribu kuangalia sensor za kwenye miguu n.k ila wote wameishia ku conclude tatizo ni abs control module ndo imekufa.
Naombeni msaada,kwa uzoefu wenu je hiyo ndio case au kuna kitu wanamiss.
Ulibadilisha sensa au abs control boxNi kweli hapo kuna issue ya ABS sensor nimewah pata shida kama hiyo kwenye ractis na belta na sijui kwa nini huwa zinakufa sana na kuna mafundi wanadai ukizembea kuweka sensor zingine then shida ya gia kuingia itaanza
Its yes kwa baadhi ya magari..Nimeona kitu kama hicho kwenye toyota Avensis.Wadau habari zenu,najua humu kuna watu wabobevu sana wa masuala ya magari.Nina gari yangu Toyota Vitz Old Model.Ghafla tu speed meter na km haziomi kwenye dash board,km zipo zile zile na speed ni zero.Dash board ni ya digital.Nimeenda kwa mafundi umeme wa magari wawili tofauti.Kila mmoja naona amejaribu kuangalia sensor za kwenye miguu n.k ila wote wameishia ku conclude tatizo ni abs control module ndo imekufa.
Naombeni msaada,kwa uzoefu wenu je hiyo ndio case au kuna kitu wanamiss.
Sukuhisho lake ni nnIts yes kwa baadhi ya magari..Nimeona kitu kama hicho kwenye toyota Avensis.
Hiyo shida ya speedometer kutokusoma lazima pia gearbox ikusumbue except lama ni mshale wa saa wenyewe ndio una shida.
Nunua ABS module mpya mkuuSukuhisho lake ni nn