Je, kuna uimara katika gari iliyofufuliwa?

kigogokizizi

Member
Joined
Mar 26, 2016
Posts
69
Reaction score
37
Habar wanajamvi,

Je, Kutengeneza gari ambayo haijatumika miaka takribani mitano. Kufix injini mpya na vipuri vingine ambavyo ni chakavu..HIYO GARI ITAKUA DURABLE?..haitasumbua kila siku matengenezo?

Gari ni range rover 4.6HSE..

Msaada kwa wataalam na wazoefu
 
lazima ikusumbue... Gari za kufufua mpaka itengemae inachukua muda mrefu ila baadae itakaa sawa
Kusumbua ama kutokusumbua inategemeana na vifuatavyo ;

1. Hali ya mifumo ambayo haujabadilisha ( kama alivyosema mdau)

2. Uhodari wa fundi anaekufanyia hiyo kazi.

Nikukumbushe kwamba asilimia kubwa ya magari tunayoletewa kutoka japan ni magari ambayo yamefufuliwa, ni magari ambayo yemefanyiwa repair baada ya ajali n.k

Lakini ni asilimia chache ambayo yanasumbua. Asilimia chache sana.
 
wapi napata mtaalam wa hiyo brand kwa dsm
 
Mimi nikitaka kufufua gari yangu nitazingatia haya:

Kumuita fundi acheki mifumo ambayo ni muhimu zaidi kuibadilisha.

Kisha spares zake agiza wewe mwenyewe straight from Japan kisha waite mafundi.

Kujibu swali lako, wasiliana na jamaa wa pale Kamata, Dar kuna garage fulani jina imenitoka ila ndiyo wababe wa hizo kazi. Au pia Moshi kuna mafundi kibao wa kufufua.
 
Habar wanajamvi,

Je, Kutengeneza gari ambayo haijatumika miaka takribani mitano. Kufix injini mpya na vipuri vingine ambavyo ni chakavu..HIYO GARI ITAKUA DURABLE?..haitasumbua kila siku matengenezo?

Gari ni range rover 4.6HSE..

Msaada kwa wataalam na wazoefu
Inategemea na fundi kama umepata fundi makini gari inafanyiwa pamping vizuri bila shida mifumo yote inawekwa sawa
 
Mimi nikitaka kufufua gari yangu nitazingatia haya:

Kumuita fundi acheki mifumo ambayo ni muhimu zaidi kuibadilisha.

Kisha spares zake agiza wewe mwenyewe straight from Japan kisha waite mafundi.

Kujibu swali lako, wasiliana na jamaa wa pale Kamata, Dar kuna garage fulani jina imenitoka ila ndiyo wababe wa hizo kazi. Au pia Moshi kuna mafundi kibao wa kufufua.
Hizo spear utazoagiza zitakuwa sio kitoto!
 
Habar wanajamvi,

Je, Kutengeneza gari ambayo haijatumika miaka takribani mitano. Kufix injini mpya na vipuri vingine ambavyo ni chakavu..HIYO GARI ITAKUA DURABLE?..haitasumbua kila siku matengenezo?

Gari ni range rover 4.6HSE..

Msaada kwa wataalam na wazoefu

Gari yeyote ikiwa na fundi makini inafanya kazi..

Kilimanjaro express bus zake za safari ndefu dar tunduma.. zina miaka zaidi ya 10... usajili namba AQE na namba A zingine ila ukiziona ni kama mpya.. kina new force na sauli wana scania mpya namba D ila zinaharibika sana njiani.. ila hata siku moja huwezi kuta bus ya kilimanjaro express ya tunduma yenye nama A imekufa njiani..

Na hata ndani ya bus ukiingia ni kama mpyaaa na nauli yake bei juu
 
Mimi nikitaka kufufua gari yangu nitazingatia haya:

Kumuita fundi acheki mifumo ambayo ni muhimu zaidi kuibadilisha.

Kisha spares zake agiza wewe mwenyewe straight from Japan kisha waite mafundi.

Kujibu swali lako, wasiliana na jamaa wa pale Kamata, Dar kuna garage fulani jina imenitoka ila ndiyo wababe wa hizo kazi. Au pia Moshi kuna mafundi kibao wa kufufua.
Evolution Auto Garage.
 
Back
Top Bottom