kigogokizizi
Member
- Mar 26, 2016
- 69
- 37
Kusumbua ama kutokusumbua inategemeana na vifuatavyo ;lazima ikusumbue... Gari za kufufua mpaka itengemae inachukua muda mrefu ila baadae itakaa sawa
wapi napata mtaalam wa hiyo brand kwa dsmKusumbua ama kutokusumbua inategemeana na vifuatavyo ;
1. Hali ya mifumo ambayo haujabadilisha ( kama alivyosema mdau)
2. Uhodari wa fundi anaekufanyia hiyo kazi.
Nikukumbushe kwamba asilimia kubwa ya magari tunayoletewa kutoka japan ni magari ambayo yamefufuliwa, ni magari ambayo yemefanyiwa repair baada ya ajali n.k
Lakini ni asilimia chache ambayo yanasumbua. Asilimia chache sana.
Mimi nikitaka kufufua gari yangu nitazingatia haya:wapi napata mtaalam wa hiyo brand kwa dsm
Inategemea na fundi kama umepata fundi makini gari inafanyiwa pamping vizuri bila shida mifumo yote inawekwa sawaHabar wanajamvi,
Je, Kutengeneza gari ambayo haijatumika miaka takribani mitano. Kufix injini mpya na vipuri vingine ambavyo ni chakavu..HIYO GARI ITAKUA DURABLE?..haitasumbua kila siku matengenezo?
Gari ni range rover 4.6HSE..
Msaada kwa wataalam na wazoefu
Hizo spear utazoagiza zitakuwa sio kitoto!Mimi nikitaka kufufua gari yangu nitazingatia haya:
Kumuita fundi acheki mifumo ambayo ni muhimu zaidi kuibadilisha.
Kisha spares zake agiza wewe mwenyewe straight from Japan kisha waite mafundi.
Kujibu swali lako, wasiliana na jamaa wa pale Kamata, Dar kuna garage fulani jina imenitoka ila ndiyo wababe wa hizo kazi. Au pia Moshi kuna mafundi kibao wa kufufua.
Habar wanajamvi,
Je, Kutengeneza gari ambayo haijatumika miaka takribani mitano. Kufix injini mpya na vipuri vingine ambavyo ni chakavu..HIYO GARI ITAKUA DURABLE?..haitasumbua kila siku matengenezo?
Gari ni range rover 4.6HSE..
Msaada kwa wataalam na wazoefu
Evolution Auto Garage.Mimi nikitaka kufufua gari yangu nitazingatia haya:
Kumuita fundi acheki mifumo ambayo ni muhimu zaidi kuibadilisha.
Kisha spares zake agiza wewe mwenyewe straight from Japan kisha waite mafundi.
Kujibu swali lako, wasiliana na jamaa wa pale Kamata, Dar kuna garage fulani jina imenitoka ila ndiyo wababe wa hizo kazi. Au pia Moshi kuna mafundi kibao wa kufufua.
Umemaanisha "Pimping" si ndio?!Inategemea na fundi kama umepata fundi makini gari inafanyiwa pamping vizuri bila shida mifumo yote inawekwa sawa