real thinker Senior Member Joined Jun 24, 2012 Posts 118 Reaction score 30 Jan 1, 2017 #1 je kuna ukweli kwamba ili mtu yeyote aingie kwenye mahusiano na mtu fulani ni lazima aanze kutamani ndipo anapenda? ( its real that admiration start then true love follow?)
je kuna ukweli kwamba ili mtu yeyote aingie kwenye mahusiano na mtu fulani ni lazima aanze kutamani ndipo anapenda? ( its real that admiration start then true love follow?)
Geofrey Maseta JF-Expert Member Joined Nov 24, 2015 Posts 1,115 Reaction score 916 Jan 1, 2017 #2 Ni kweli kabsa
real thinker Senior Member Joined Jun 24, 2012 Posts 118 Reaction score 30 Jan 1, 2017 Thread starter #3 Geofrey Maseta said: Ni kweli kabsa Click to expand... okay fine brother
Kunguru wa Manzese JF-Expert Member Joined Apr 20, 2016 Posts 12,729 Reaction score 18,119 Jan 1, 2017 #4 Ndio kijana lazima kidogo umezee mate kwanza ndo Upendo unafuata
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,563 Reaction score 48,223 Jan 2, 2017 #5 Kheri ya Mwaka Mpya
real thinker Senior Member Joined Jun 24, 2012 Posts 118 Reaction score 30 Jan 2, 2017 Thread starter #6 gh hussa said: Ndio kijana lazima kidogo umezee mate kwanza ndo Upendo unafuata Click to expand... okay sawa sawa kaka nimekusoma
gh hussa said: Ndio kijana lazima kidogo umezee mate kwanza ndo Upendo unafuata Click to expand... okay sawa sawa kaka nimekusoma